Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Mwenzako anamiliki duka la nguo Marekani na kampuni ya mitindo. Waswahili hata Manji mtasema hana pesa. Kama kujitunza ni rahisi na burebure anza kumtunza mkeo akifikisha miaka 40 mpige picha utapata jibu.

Hahahahaha hiyo picha abaki nayo tafadhali, asije kutuharibia siku
 
Waswahili bwana, ndio maana wabeba box wanakuja TZ kuwatambia kwa porojo na wakati wanasota tu majuu. Eti anamiliki duka la nguo Marekani, uliza kwanza kuhusu hayo maduka ya nguo ya Wabongo. Labda uwe hujaishi Marekani ndio utatetemekea kama wewe.

Uwezo wangu nadhani wapo wanaonijua humu watakusaidia kukueleza. Ila kwa kifupi, kama unamuona Linda bonge la tajiri, basi mimi nione Kama Mengi vile, kwa sababu huyo Linda wala hanikaribii.

Sipendi tabia za kujisifu mitandaoni, ila ni vema ukafahamu kuwa, nina ajira za watu 82 (sio vibarua) ktk miradi yangu ya ndani na nje ya TZ. Nimefunga mjadala wangu.

Ova.

Mdakuz
 
Mzuri....
duh 41? Hata mi mwenye 20's naonekana bibi hongera zake
Hv ninyi watoto wa humu JF ni wazuri kweli! ama sura-na maumbile mmefanana na sisi kaka zenu hicho kifaa hapo juu ni balaa! ni matumaini yangu hamuachani mbali sana na huyo muamerica
 
892047_560429883991220_1146301069_o.jpg
huyo mmasai ndo mumewe?
 
Back
Top Bottom