Ndio bwana, sie ni wa kubembeleza.Tuendelee kubembeleza tu....
@Extrovert njoo utoe somo.Nitapata wapi pa kujifunza kubembeleza...?
Hakuna Ugomvi Wala KuliaHahahahah unatafuta mHakuna Ugomvi wengine tu baba 😂
NdioNdio mtaalamu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hadi sasa bado sijapata MENTOR TU KAMA HAMTAKI SI MSEME TU
AU MAMENTOR HAWAJANUNUA BAMDO EEE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heaven Sent njoo uokoe jahazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa mwambie sisi mamentor hatujanunua bundle bado, atume vocha
Mie na kubembeleza wapi na wapi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Kwanini usiwe wewe?
niliamua kuendelea na mambo yango huku naumia, maana nilikuwa sijui what was the problem. nakuja kushtuka, anaolewa.Uliwezaje kusubiri miaka 3! Ilibidi ujiongeze mapema
Maninerr zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Aaaah wewe nyang'au mzoefu ndio maana hutaki kuruhusu upendwe. We endelea kukaza shingo ngoja sie tuendelee kula mema ya nchi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Mara hii nawewe hauwezi loohh!!! Sheeeesh!Mie na kubembeleza wapi na wapi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshamvuruga halafu kumshauri hamtaki eeh?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Mara hii nawewe hauwezi loohh!!! Sheeeesh!
Mganga hajigangi dota.Hhaha fu na yeye si alikuwa mentor jamani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie naflow na beat, nikibembelezwa napita humo humo. Sasa hii ya kuanza kutoa somo mweeeh[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Tatizo wewe ni nyang'au huwezi mfundisha, zaidi utamfundisha unyang'au tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]