Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Huyo mshenz tu kama washenz wengne hajielew wala hajitambui mbwa kabisa huyo na hana kazi ya kufanya ndio mana hajatulia alijiona amefika huko anakokwenda karma imempata mapema piga chini songa mbele
Kuna baadhi ya situation unajikuta unacheka badala ya kuumia au kupata huzuni
 
Issue ilianza katika kipindi cha Valentine ya 2017, nilimtumia love song flani hivi thru whatsapp (2 days before Valentine). Ila akakausha. Nikajiongeza labda mtandao unadownload slow. 24 hours later, still kimya, japo status anaweka mpaka video. Ikabidi nimuulize, nilichokutumia umeona, akajibu simple tu "Ndio"

Sikufosi mzozo, nikaingizia mada zingine, ilo likapita (mind you, hapo nyuma alishaniletea visa kibao, ila navumilia tu). On valentine's day, akawa harespond positive kwangu, ni mkato tu. 2 days after Valentine, huo usiku nilimpigia simu, but hakuwa in a gud mood na mimi, akaniomba alale then tutaongea asubuhi, nikaridhia. .

Palivyokucha, nikamjulia hali. Akanijibu yuko poa tu( bila kuulizia hali yangu), then hapo hapo akaniuliza kwenye saving fulani kuna shilling ngapi? (Kuna biashara alikuwa anafanya, mimi namsimamia tu, so kuna amount nilimshauri awe ana save). Nikamjibu kwa kumtajia kiasi kilichopo. Akaomba nimtumie hiyo hela. Wala sikuvunga au kumhoji, nikamtumia.

Muamala uliposoma tu kwake, akaniandikia hii msg : "Naomba tuachane, mimi narudiana na fulani(akataja jina la ex wake), maisha mema"

Nikamuuliza, una uhakika na ili, akajibu " Ndio"

Ikawa imeisha hivyo.

Unajua ni maajabu gani yalitokea after mwezi na nusu?

Alianza na text hii : Mambo? Hivi unanichukia?
Dah🤣🤣🤣🤣🤣Mzee wa Template.... So ulimwambiaje??
 
[emoji16][emoji16][emoji16] upatu wa mama yake' wewe unakuhusu Nini !?
Nimsaidie mama yake ana ujenz wa nyumba kijijin kwao nilimshangaa kwel nikajiuliza maswal meng sana mpaka Leo mama yake ana mume wake Yan majukum ya baba yake anataka niyafanye Mimi halaf mama yangu nyumba yeye hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Espy My dear unafikiri watu hawasemi?? Acha tuu mama.. Kwa mtu umpendaye Huwezi kuacha kuzungumza Hisia zako lakini ndo kwanza unaangaliwa Kama kopo la chooni... Inafika mahali unajikagua na kujichunguza labda una matatizo haupati majibu.... Kinachofuata unajihukumu kwa Makosa usiyoyajua... Kisha msongo mkali wa Mawazo.. Mwisho Kila kitu kinaharibika... Mapenzi Yana nguvu Sana. Basi tuu Inabidi kupenda.
Daaah!! Poleni sana.
 
Mimi mawasiliano yalianza kupungua. Ukimtumia Msg anajibu P, Tantee,K . Mara Usinipigie Tuchat nk. Nikajua hapa Sina changu .

Siku moja nilitoka kuoga nikakuta Missed call na Sms moja muda huohuo kwamba ""Ninakupigia Simu upokei..? haya maisha mema" ile namtafta nijitete nakuta kaishanilamba Block
emoji2.png
emoji2.png
Mimi sijawahi kuachwa, nilikuwa nawahi kuacha kabla sijaachwa.
 
Nimsaidie mama yake ana ujenz wa nyumba kijijin kwao nilimshangaa kwel nikajiuliza maswal meng sana mpaka Leo mama yake ana mume wake Yan majukum ya baba yake anataka niyafanye Mimi halaf mama yangu nyumba yeye hana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dahhh!!!
 
Mwanamke kuachwa na mwanaume inaumaa sana na sio fair

Mwanaume hapigi kibuti mwanamke.

Mwanaume ndio anaachwa sio mwanamke.
 
Mimi nishawahi kupigwa chini na mwanamke wangu wa kwanza(Aliyenifundisha mapenzi) yaani sijaamini kudadek, Ila nilikuja kupiga chini na Mimi mtoto wa mtu mpaka akany'wa sumu yaani...
 
Issue ilianza katika kipindi cha Valentine ya 2017, nilimtumia love song flani hivi thru whatsapp (2 days before Valentine). Ila akakausha. Nikajiongeza labda mtandao unadownload slow. 24 hours later, still kimya, japo status anaweka mpaka video. Ikabidi nimuulize, nilichokutumia umeona, akajibu simple tu "Ndio"

Sikufosi mzozo, nikaingizia mada zingine, ilo likapita (mind you, hapo nyuma alishaniletea visa kibao, ila navumilia tu). On valentine's day, akawa harespond positive kwangu, ni mkato tu. 2 days after Valentine, huo usiku nilimpigia simu, but hakuwa in a gud mood na mimi, akaniomba alale then tutaongea asubuhi, nikaridhia. .

Palivyokucha, nikamjulia hali. Akanijibu yuko poa tu( bila kuulizia hali yangu), then hapo hapo akaniuliza kwenye saving fulani kuna shilling ngapi? (Kuna biashara alikuwa anafanya, mimi namsimamia tu, so kuna amount nilimshauri awe ana save). Nikamjibu kwa kumtajia kiasi kilichopo. Akaomba nimtumie hiyo hela. Wala sikuvunga au kumhoji, nikamtumia.

Muamala uliposoma tu kwake, akaniandikia hii msg : "Naomba tuachane, mimi narudiana na fulani(akataja jina la ex wake), maisha mema"

Nikamuuliza, una uhakika na ili, akajibu " Ndio"

Ikawa imeisha hivyo.

Unajua ni maajabu gani yalitokea after mwezi na nusu?

Alianza na text hii : Mambo? Hivi unanichukia?
Mwendelezo mzee baba.
 
Mtoa post umegusa penyewe maana SCENARIO kama hii post ndio napambana nayo , niliwahi kumpenda manzi kipindi cha nyuma miaka kama 2013 hivi na ndio ilikuwa mara ya kwanza kumpenda demu kwa dhati sio kwa papuchi ila ilikuwa ni kwa dhati kabisa tofauti MABAHARIA wanavyopenda maana kuna ka utofauti kati ya pendo la KIBAHARIA na la mtu aliyependa aweke ndani baadae, bahati mbaya mahusiano yalikuwa ya muda mrefu sana.
Ee bhana hawa viumbe wakati mwingime wanajua kucheza karata zao za maigizo dah! Nilihudumia nikijua nahudumia wife material bhna, ila kilichonikuta nina kijua mimi
Tokea 2015 nikaamua kuapa kama wewe hapo juu na nilifanikiwa pakubwa sana KUIKWAA LIKIZO NDEEFU ya kupenda toka 2015 hadi 2020 disemba 31 saa 6 usiku.
Kipindi hicho chote cha Likizo nilicheza kibaharia hatariiii + rough za kutosha tu kwa hawa viumbe, mwiko tu hamna kupenda, unapenda KiBAHARIA tu maisha yanaendelea bila MAJERUHI WALA MAUMIVU[emoji23]
Asikwambie mtu bhana kupenda KIBAHARIA HAKUNA STRESS WALA NDUGU YAKE NA STRESS, safi mno.

Sasa 2021 imeingia bhana ohoooo!
hali ya miaka ya nyuma imetokea sasa KUPENDA KUSIKO KAWAIDA kupenda OUT of KI-OCEAN yaani duh!
Nina mwezi mmoja na tulianza vizuri sana kwa january yote,
kimbembe kinachonitesa ni kuwa nimemuonesha upendo wangu wote kuanzia kwenye UNYAYO WA MGUU HADI KISOGONI kudadeeek, yaaan acha bhana kumpenda demu taabu sana,

Kila nikituma sms
mimi= mambo
yeye= p
mimi= kipenz wangu mbona huna furaha
yeye= niko normal
mimi= mbona mwanzo hukuwa hivi
yeye= sijui
mimi= aya bhana
yeye= p, baadae

Yaani akili yangu yote haifanyi kazi kabisa kwa sabab ya huyu mmanzi na nilikuwa na mpango wa KUMWEKA NDANI KABISA ila sasa naona LIKIZO INANIHUSU SINA UJANJA

Bandugu JF ina mamenta wazurii sana hebu nishaurini nimchinjie BAHARINI au niendeleee KUJILIZA LIZA kwa huyu mmanz!
binafsi niligeuka kuwa mentor wa wengi waliopatwa na majanga haya kipindi nikiwa LIKIZO maana NILIKOSA kazi ya KUFANYA LIKIZONI kwa party time tu lakini, sasa yamenikuta tena mimi mwenyewe na siwezi KUJIMENTOR mwenyewe maana sina taaluma ya umenta ijapo niliifanya ili kufariji wenzangu tu LIKIZONI
Sina raha, sipati chakula kwa utulivu, moyo una ruka ruka tu kama mahaarage yakiwa YANAKWEPA KUIVA KWA MAJI YA MOTO, imeathiri utendaji wa kazi zangu kabisa na nina fanya makosa mengi ninapo kuwa kazini, ila yote ni kwa sababu moyo umependa kupitiliza kwa huyu manzi,

Nawasihi jamani mamenta mnisaidie tu, kama ni kurudi UBAHARIANI NIMECHOKA na sipo tayari kurudi likizo hiyo tena, maana nimekuwa sasa 27+months sio haba, naomba mnipe ushauri NiFanyaje kwa hili

demu kabadilika kinoma na ukitaka kumpigia lazima uwe na roho ngumu maana jibu lake ni kuwa niko bize na mtoto wa ant labda nitafute baadae, ukimcheki hiyo baadae utasikia nataka nilale maana sijalala mchana kwa hiyo nataka kupmzika,

SEM NINA UZOEFU NA UBAHARIA, dent akisema ivo si kweli utashangaa ukiiingia FB mesenger yupo online hata saa 7 usiku unamuona kabisa yupo online, au whatsaap unaona kabisa yupo online, wachaa wee moyo unavoruka ruka khaaaa,
Hii mambo iache tu inatesa sana,
karibuni sana kwa kunipa mawazo mbadala
Tafuta pesa kwanza..halafu ipende kazi yako kwanza wanawake watakuja wenyewe..
 
Issue ilianza katika kipindi cha Valentine ya 2017, nilimtumia love song flani hivi thru whatsapp (2 days before Valentine). Ila akakausha. Nikajiongeza labda mtandao unadownload slow. 24 hours later, still kimya, japo status anaweka mpaka video. Ikabidi nimuulize, nilichokutumia umeona, akajibu simple tu "Ndio"

Sikufosi mzozo, nikaingizia mada zingine, ilo likapita (mind you, hapo nyuma alishaniletea visa kibao, ila navumilia tu). On valentine's day, akawa harespond positive kwangu, ni mkato tu. 2 days after Valentine, huo usiku nilimpigia simu, but hakuwa in a gud mood na mimi, akaniomba alale then tutaongea asubuhi, nikaridhia. .

Palivyokucha, nikamjulia hali. Akanijibu yuko poa tu( bila kuulizia hali yangu), then hapo hapo akaniuliza kwenye saving fulani kuna shilling ngapi? (Kuna biashara alikuwa anafanya, mimi namsimamia tu, so kuna amount nilimshauri awe ana save). Nikamjibu kwa kumtajia kiasi kilichopo. Akaomba nimtumie hiyo hela. Wala sikuvunga au kumhoji, nikamtumia.

Muamala uliposoma tu kwake, akaniandikia hii msg : "Naomba tuachane, mimi narudiana na fulani(akataja jina la ex wake), maisha mema"

Nikamuuliza, una uhakika na ili, akajibu " Ndio"

Ikawa imeisha hivyo.

Unajua ni maajabu gani yalitokea after mwezi na nusu?

Alianza na text hii : Mambo? Hivi unanichukia?
Duuu
 
Mimi nakumbuka ilikuwa siku ya birthday yangu akanipigia simu nionane naye, nikaonana naye akanipa card ambayo ndani ilikuwa na kiasi fulani cha pesa, nikarudi nyumbani nikalala, kesho yake asubuhi nikashtukia messege lets end this realationship, kila nikimpigia simu hapokei wala text hajibu, sijajua shida ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom