Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

HEADLINE:

"EMBASSY YAPEPERUSHA UTAMU WA CHALII YA ARA"
Hahaha sema nilimuona manzi waki tu maana kama ni gambe tulikuwa tunagonga wote na hajawahi niona niki smoke ila siku hiyo niliamua tu kununua fegi becha nikavuta moja moja ndio ikawa imebakia hapo geroo hata nilikuwa siikumbuki.

Upekuzi upekuzi mwingi ndio shida yake.
 
Mimi Kuna demu wangu mmoja yeye alijipanga kwa kuniacha kabla ya kufika lengo la kuniacha nikawai kumuacha yeye!! ilikuwa hivi nashangaa ana anza kuniomba vitu vingi Mara anaomba nimnunulie madira 7, mitandio , sandals, kodi Mara mama yake ana cheza upatu Mimi nimlipie jina moja Sasa cha ajab akiniomba Leo hela ya kod nikimwabia sina kesho anaomba tena kwa Jambo jingine toka siku hiyo siku mpigia sim tena.
 
Nilianza kuambiwa kuwa nina vidole vya miguu vibaya,sijitambui,ni kichaa,etc and i knew i have to be strong to walk away with it!Wewe Mage wa Shinyanga wewe Mungu atakulipa siku moja.
Nikwel vibaya? Tatizo la madem wanachunguza sanaa mwili wa mwanaume
 
Issue ilianza katika kipindi cha Valentine ya 2017, nilimtumia love song flani hivi thru whatsapp (2 days before Valentine). Ila akakausha. Nikajiongeza labda mtandao unadownload slow. 24 hours later, still kimya, japo status anaweka mpaka video. Ikabidi nimuulize, nilichokutumia umeona, akajibu simple tu "Ndio"

Sikufosi mzozo, nikaingizia mada zingine, ilo likapita (mind you, hapo nyuma alishaniletea visa kibao, ila navumilia tu). On valentine's day, akawa harespond positive kwangu, ni mkato tu. 2 days after Valentine, huo usiku nilimpigia simu, but hakuwa in a gud mood na mimi, akaniomba alale then tutaongea asubuhi, nikaridhia. .

Palivyokucha, nikamjulia hali. Akanijibu yuko poa tu( bila kuulizia hali yangu), then hapo hapo akaniuliza kwenye saving fulani kuna shilling ngapi? (Kuna biashara alikuwa anafanya, mimi namsimamia tu, so kuna amount nilimshauri awe ana save). Nikamjibu kwa kumtajia kiasi kilichopo. Akaomba nimtumie hiyo hela. Wala sikuvunga au kumhoji, nikamtumia.

Muamala uliposoma tu kwake, akaniandikia hii msg : "Naomba tuachane, mimi narudiana na fulani(akataja jina la ex wake), maisha mema"

Nikamuuliza, una uhakika na ili, akajibu " Ndio"

Ikawa imeisha hivyo.

Unajua ni maajabu gani yalitokea after mwezi na nusu?

Alianza na text hii : Mambo? Hivi unanichukia?
 
Brother Usife kaza Moyo... Utavuka salama Kaka zako tushavuka huko tupo hatua ya Mwisho kupona. Kukubaliana na Hali
Kiukweli nateseka sana ndugu zangu, huyu mwanamke atanitoa roho. Sijui hana huruma..hivi mtu aliyekupenda na ukampenda sana unaanzaje kumuacha??

Nimetoka kilo 65 mpaka 52. Nina shambulio la moyo sasa kiukweli naona giza bila huyu mwanamke sijui itakuaje 😔
 
Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote

iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,

"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Ukimwi upo na unaua
 
Muwe mnatwambia yanayowasibu jamani, tupo kwaajili yenu. Msisubiri kuja kunung'unikia huku mitandaoni, hamtatui tatizo.
Espy My dear unafikiri watu hawasemi?? Acha tuu mama.. Kwa mtu umpendaye Huwezi kuacha kuzungumza Hisia zako lakini ndo kwanza unaangaliwa Kama kopo la chooni... Inafika mahali unajikagua na kujichunguza labda una matatizo haupati majibu.... Kinachofuata unajihukumu kwa Makosa usiyoyajua... Kisha msongo mkali wa Mawazo.. Mwisho Kila kitu kinaharibika... Mapenzi Yana nguvu Sana. Basi tuu Inabidi kupenda.
 
Mimi Kuna demu wangu mmoja yeye alijipanga kwa kuniacha kabla ya kufika lengo la kuniacha nikawai kumuacha yeye!! ilikuwa hivi nashangaa ana anza kuniomba vitu vingi Mara anaomba nimnunulie madira 7, mitandio , sandals, kodi Mara mama yake ana cheza upatu Mimi nimlipie jina moja Sasa cha ajab akiniomba Leo hela ya kod nikimwabia sina kesho anaomba tena kwa Jambo jingine toka siku hiyo siku mpigia sim tena.
[emoji16][emoji16][emoji16] upatu wa mama yake' wewe unakuhusu Nini !?
 
Issue ilianza katika kipindi cha Valentine ya 2017, nilimtumia love song flani hivi thru whatsapp (2 days before Valentine). Ila akakausha. Nikajiongeza labda mtandao unadownload slow. 24 hours later, still kimya, japo status anaweka mpaka video. Ikabidi nimuulize, nilichokutumia umeona, akajibu simple tu "Ndio"

Sikufosi mzozo, nikaingizia mada zingine, ilo likapita (mind you, hapo nyuma alishaniletea visa kibao, ila navumilia tu). On valentine's day, akawa harespond positive kwangu, ni mkato tu. 2 days after Valentine, huo usiku nilimpigia simu, but hakuwa in a gud mood na mimi, akaniomba alale then tutaongea asubuhi, nikaridhia. .

Palivyokucha, nikamjulia hali. Akanijibu yuko poa tu( bila kuulizia hali yangu), then hapo hapo akaniuliza kwenye saving fulani kuna shilling ngapi? (Kuna biashara alikuwa anafanya, mimi namsimamia tu, so kuna amount nilimshauri awe ana save). Nikamjibu kwa kumtajia kiasi kilichopo. Akaomba nimtumie hiyo hela. Wala sikuvunga au kumhoji, nikamtumia.

Muamala uliposoma tu kwake, akaniandikia hii msg : "Naomba tuachane, mimi narudiana na fulani(akataja jina la ex wake), maisha mema"

Nikamuuliza, una uhakika na ili, akajibu " Ndio"

Ikawa imeisha hivyo.

Unajua ni maajabu gani yalitokea after mwezi na nusu?

Alianza na text hii : Mambo? Hivi unanichukia?
[emoji16][emoji16][emoji16] keshapigwa tukio alipokuwa ... Enhee baada ya hapo ikawaaje !?
 
Kiukweli nateseka sana ndugu zangu, huyu mwanamke atanitoa roho. Sijui hana huruma..hivi mtu aliyekupenda na ukampenda sana unaanzaje kumuacha??

Nimetoka kilo 65 mpaka 52. Nina shambulio la moyo sasa kiukweli naona giza bila huyu mwanamke sijui itakuaje [emoji17]
Pole Sana ndugu yangu,Ni kipindi Cha mpito....kubaliana na matokeo maana mpk amekuacha inamaanisha amepata mtu mwingne.

Inamaana hata akirudi hawezi kuwa Kama Yule mwanzoni...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom