Tukizungumzia kuamini nitasema hapana dawa ya UKIMWI ipo ila tukizungumzia uhalisia wa mambo yalivyo na nnavyoona nitasema tu dawa Hamna.
Tunayo miti mingi yenye uwezo wa kuponya kila aina ya ugonjwa chini ya jua ni kwamba tu tumekosa maarifa kwasababu babu na bibi zetu hawakututunzia kumbukumbu za tiba za asili katika maandishi, na utandawazi umeua wazee wote na kutuletea watoto WALIOZEEKA ambao pia wanajaribu kutuaminisha kwamba vya Wazungu ni bora kuliko vyetu. watu wanaotumia copy and paste badala ya kufikiri
Ndio sababu Mwafrika wa leo kuishi tu miaka 80 ni ndoto ambayo hata kuiota tu ni ndoto pia.
Katika dunia ya leo yenye maendeleo makubwa ya sayansi na madaktari wengi wabobezi, sasa Jiulize kwanini pia magonjwa yameongezeka na afya ya mwanadamu imezidi kushambuliwa na magonjwa ya kila aina?
Magonjwa ndio biashara kubwa zaidi duniani ambayo inakiingizia Kiwanda cha Tiba matrilioni ya dolari kila mwaka. Wanasema, “kutengeneza biashara, tengeneza tatizo, kisha tengeneza suluhisho la hilo tatizo uwauzie wahanga. Lakini hawaishii hapo. Wanaendelea, “Huwezi kutengeneza pesa nyingi toka kwa mgonjwa anayepona - mfanye aendelee kuwa mgonjwa ili awe mteja wa kudumu!”
Makampuni makubwa ya dawa za kifamasia yamefanikiwa kuuongopea ulimwengu kwamba magonjwa kama Saratani, sikoseli, Presha, Pumu, Selimundu, HIV/ARVs, Kisukari, Utasa, na mengineyo hayawezi kupona.
Ni sawa, wakikupa dawa za kukuponya si hutoenda tena kununua dawa! Huoni kama hii itaathiri biashara yao”
“Kwanini basi hospitali wanakwambia magonjwa haya hayaponi?”
Leo fluoride inatiwa kwenye mfumo wa umma wa maji ya kunywa na kwenye dawa za meno ili kuimarisha meno yetu. Unajua ni kwanini?
Kutengeneza biashara, tengeneza tatizo kisha tengeneza suluhisho la tatizo uwauzie wahanga”
Big Pharma ni maharamia wa afya zetu ambao wanatumia mbinu za kihuni ili biashara yao iendelee kustawi. Wanatengeneza magonjwa, wanakutia hofu kupitia vyombo vikubwa vya habari pamoja na Shirika la Afya Duniani, kisha wanatengeneza dawa za kuyatuliza magonjwa hayo lakini wanazitia viambata-sumu ambavyo vitakusababishia matatizo mengine tena ya kiafya ili uwe mteja wa kudumu.
Vilevile wanaendelea kuua uoto wetu wa asili kwa kupitia mbolea na madawa ya kilimo kisha wanatuletea mimea yao ya kisasa ili usiweze kupata kwa urahisi mimea sahihi kwa ajili ya kujitibu ukapona.
Siku hizi kila kitu ni cha kisasa. Vyakula, matunda, mifugo,... Zamani ulikuwa ukipikwa wali unanukia mtaa mzima. Siku hizi unaweza kupika wali jikoni halafu mtu aliye sebuleni asijue. Mchele wa kisasa. Kila kona ni GMO.
Wametengeneza tatizo ili waje watuuzie dawa na vifaa-tiba.
Ustawi wa biashara yao upo katika kuendelea kukuongezea wewe matatizo; sio kukuponya. Ndio sababu vilevile wanaamini sana katika kukukata viungo kuliko kukuponya.
Wanakukata govi wakidai ndiyo unakuwa msafi. Ukiugua kidole tumbo utaambiwa kinapaswa kikatwe kiondolewe. Ukiugua bawasiri utaambiwa unatakiwa ukatwe sehemu za puru. Ukiwa na saratani utaambiwa ukatwe kiungo kilichoathirika.
Ukiwa na jino bovu utaambiwa ling’olewe. Kwanini kiungo "kilichoathirika kisitibiwe bila kuondolewa? Wanajua ukipunguzwa kiungo chochote, tayari unakuwa umejitengenezea mwanya mkubwa wa kupatwa na maradhi zaidi.
Sio kosa lako wewe daktari kuwambia watu UKIMWI au ugonjwa fulani hauwezi kupona. Umefundishwa hivyo! Wachache wanaojinasua toka kwenye kifungo hiki cha mafunzo ya kibepari huamua kujikita kwenye tafiti binafsi za miaka mingi na kuja na tiba za uhakika za magonjwa ambayo walimu wao wa vyuo vikuu waliwafundisha kwamba hayaponi
Wapo Wengine kwakuwa wamepata elimu ya kimagharibi wanahofia wakionekana wanatumia dawa za mitishamba wataitwa washamba; kwamba elimu yao haijawakomboa.
Unaogopa kuitwa mshamba halafu unakubali kutumbukia shimoni? Ni hekima kuikimbia hatari! Kuna wakati unapaswa uifuate miguu yako; sio kichwa chako.
Leo hii ni kawaida vilevile kukuta Mwafrika anasema “Mimi nimeokoka, imani yangu hainiruhusu kutumia mitishamba.” Hakuna utumwa mbaya kama ule wa kuamini uko huru.
Ukweli ni kwamba suluhisho la matatizo yako ya kiafya halihitaji matibabu ya gharama kubwa; suluhisho lipo kwenye mazingira yako. Kazi ya mikono ya Mungu!
Dawa za asili zinazoweza kutibu kila aina ya ugonjwa chini ya jua zinapatikana katika mazingira yetu, nje ya nyumba zetu, kwenye mashamba na bustani zetu na kwenye misitu na mapori yetu.
Hivi ndivyo mababu na mabibi walivyoishi mpaka wakafikia umri wa miaka 100 na zaidi wakiwa imara kabisa !