Primary nimesoma shule 3,Iringa,morogoro na Dar.Primary school ulisoma shule gani mkuu.
Okay mkuu ila nilijua umesoma Dar es salaam basi mkuuPrimary nimesoma shule 3,Iringa,morogoro na Dar.
Kuna mtu umenifananisha nae??shule gani hiyo Dar ambayo unahisi??Okay mkuu ila nilijua umesoma Dar es salaam basi mkuu
Yalikuwa hayahitaji kufunguliwa bali kubomolewa....Elimu ni ufunguo wa maisha🥴
Hilo jina la lost file Kuna jamaa alipenda kulitumia sana Sasa nimeona haiwezekani kuwa ni wewe that's why nimeona niachane na Hilo jamboKuna mtu umenifananisha nae??shule gani hiyo Dar ambayo unahisi??
Ilikua chachu ya kutuhamasisha eti tuamke saa kumi na moja asubuhi kwenda shuleElimu ni ufunguo wa maisha🥴
😆😆😆Yalikuwa hayahitaji kufunguliwa bali kubomolewa....
Nyie madaktari mna siri sana kwani ukimwi ni ugonjwa?Mzee by professional Mimi daktari nakwambia huu unyama ni hatari hautibiki kweli.
Mkuu Kuna tofauti kati ya kuheshimu na kuogopa mzazi au yeyote aliyekuzidi umri usimuogope ila mpe heshima yakeNi uongo, inazuia udadisi na uvumbuzi, kwa kuwa unawafanya watoto kuwa na akili za kikondoo.
Faida ya kumpa heshima au kutompa heshima ni zipi?Mkuu Kuna tofauti kati ya kuheshimu na kuogopa mzazi au yeyote aliyekuzidi umri usimuogope ila mpe heshima yake
Hapana mkuu ukimwi sio ugonjwa ni upungufu wa Kinga zinazoulinda mwili zinapopungua sana zinaweza kupelekea mtu kupata maradhi ambayo yanawanyemelea sana watu wenye Kinga za mwili chache. Sasa hayo maradhi mara nyingi yanawakuta watu wenye ukimwi mkuu. Inshort yule virus anaesababisha upungufu wa Kinga mwilini hawezi na hakuna dawa inayoweza kumuuwa Moja Kwa Moja that's Tuna sema hautibiki.Nyie madaktari mna siri sana kwani ukimwi ni ugonjwa?
Wakoloni sita kutoka Ulaya kuja kuitawala Afrika!What a lie!Tusisingizie uongo.Ni Kitu gani ulifundishwa shuleni Lakini Sasa ivi umegundua kama ulidanganywa maana haikuingii akilini
Je huyo virus anaonekana kwenye vipimo vyenu kama kipimo Cha maralia? Na je kwanini nikipima ukimwi Tanzania naweza kuambiwa Positive alafu nikaenda Kenya nikaambiwa negative?Hapana mkuu ukimwi sio ugonjwa ni upungufu wa Kinga zinazoulinda mwili zinapopungua sana zinaweza kupelekea mtu kupata maradhi ambayo yanawanyemelea sana watu wenye Kinga za mwili chache. Sasa hayo maradhi mara nyingi yanawakuta watu wenye ukimwi mkuu. Inshort yule virus anaesababisha upungufu wa Kinga mwilini hawezi na hakuna dawa inayoweza kumuuwa Moja Kwa Moja that's Tuna sema hautibiki.
Mkuu vipimo vya HIV vipo vingi kile kipimo cha awali unachopimwa hospital kinaitwa Rapid test ambacho kama ikitokea kitaonyesha unaukimwi watu hawataridhika na majibu hayo tu wataenda kwenye kipimo kingine kinaitwa USD bioline/Gold standard then majibu yakija ni positive wataamini lakini majibu yakija ni negative hawataridhika wataenda Tena kwenye kipimo kingine kupima. Lakini pia Kuna uwezekano mtu akapimwa na kuonekana na HIV ilhali Hana ukimwi Kwasababu mbalimbali na Hilo ni somo pia maswala ya True positive na True negative results. Kiongozi mwisho niseme inawezekana kifaa kilichotumika kilikuwa kimeisha muda wake, kifaa kimetambua vinasaba vya maradhi mengine tofauti na virus wa ukimwi na mambo mengine mengi. Uwe na siku njema mkuuJe huyo virus anaonekana kwenye vipimo vyenu kama kipimo Cha maralia? Na je kwanini nikipima ukimwi Tanzania naweza kuambiwa Positive alafu nikaenda Kenya nikaambiwa negative?