Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,423
- 7,938
- Thread starter
- #81
Hii ni filamu Kali sana ya uongoNASA walikwenda MWEZINI na sayari ya MARS
Hii ni filamu Kali sana ya uongoNASA walikwenda MWEZINI na sayari ya MARS
Well said.Zinaitwa Sayari Kibete mpaka sasa zipo tano , Ni sayari ila zinapungua sifa ndo maana tunaziita Dwarf planets , mfano ili kitu kiitwe sayari inabidi iwe na sifa ya kuzunguka jua , Pluto anayo hii sifa , pia iwe na umbo la duara maana yake nguvu ya uvutano (gravity) iwe inaivuta sayari iwe karibu na kufanana na umbo la duara Pluto pia hii sifa anayo.
Kipengele kinachomnyima sifa ni kwamba Kwenye ule mhimili wake Pluto hana utawala binafsi kama sayari nyingine kama dunia Yaan dunia kwenye orbit yake kasimama yeye kama yeye !!
Huku kwenye pluto chawa ni wengi yaan tuseme Jua ndo mwenyekiti wa mtaa , Sayari ndo wakazi wa mtaa , Dunia ana eneo lake kubwa la utawala na haingiliwi na paka yaan tuseme eneo lote Mbweni ni utawala wake yaan "No trespass" au tuchukulie eneo la jeshi wako wao tu , ila sasa mwanetu Pluto yeye majirani kibao yaan hadi anakosa kujitawala huko kwenye muhimili wake kuna Barafu na Mawe yaan vitu vyote vilivyo kwenye ukanda wa Kuiper 😂 ile design ukinunua TV watu wanahamia kwako 😂
Huo ndo mfano rahisi
Hii ni ukweli.Elimu ni ufunguo wa maisha🥴
Idd Amin Dada alikua anakula watu,Ni Kitu gani ulifundishwa shuleni Lakini Sasa ivi umegundua kama ulidanganywa maana haikuingii akilini
Ivi wewe unajua tofauti ya elimu na akili???Hii ni ukweli.
Elimu ndio inayokuwezesha kuishi. Na unaanza kuipata siku unazaliwa na kutambua ziwa la mama ili upate kuishi. Kuhisi kitu ni elimu ikuwezeshayo. Elimu inakupa ufahamu flani wa kuishi.
Elimu sio ile ya darasani tu, hata kujua namna ya kujitawaza ni elimu. Sasa ukimuondolea elimu binadamu anakuwa kama ng'ombe, yani hana maisha endelevu. Japo ng'ombe ana elimu kiasi ya kumudu mazingira yake.
Hata kujua jinsi ya kuvuka barabara ni elimu.
Hata kujua simba ni mnyama hatari ni elimu. sasa tukuondolee elimu ili ukamkumbatie simba ukimuoma.
Walisema hauna dawa sio hautibiki mpaka sasa watu saba wametibiwa na kupona ukimwiUkimwi hautibiki
Acha uongoDUNIA ni duara kama tufe...badala DUNIA ni FLAT
Najua. Japo unaweza usikubali jibu langu.Ivi wewe unajua tofauti ya elimu na akili???