Ulichukua maamuzi gani ulipokuta SMS za miadi za ex wa mpenzi wako kwenye simu yake

Nyie ndio mnao waentertain ma ex wenu na kuhatarisha mahusiano yenu mapya

Kwanza kila mtu yuko na misimamo yake hatuwez kufanana

Pili, kwa maneno yako binafsi siwez hitaji msaada kwa ex hata siku moja, haijalishi tuliachana kwa style gan nzuri au mbaya

Kuhusu kumpenda hivi unaingia kwenye mahusiano na mtu si mnakua mnapendana na mpaka mnafikia kuachana it means mmeshindwa kufikia makubaliano yenu na unaona kabisa hapa hakuna future sasa niendeleee kushikilia nizidi kujiumiza?? tunaachana tu haijalishi nilikupenda kiasi gan na kikubwa ni kukubali kua sina namna zaidi ya hio na maisha lazima yasonge

Mimi tukimalizana na ukurasa wako umefungwa, yan sitataka kujua chochote kuhusu wewe, sutakua stalker et nianze kukuchungulia jinsi maisha yako yanaendelea bila mimi kwa kweli hapana hua naishi kama vile sjjakutana na wewe na sikujui wala hujawahi kutokea kwenye maisha yangu na najivunia hili kwa kweli

Sijawah kumuomba ex msaada wowote ule na sio kwamba et na mwenzangu hatukwami kwa kweli hakuna maisha ambayo yapo na ups tu kuna downs kama zote lakini hua ni mwenye kustahmili sababu najua lazima hiki kipindi kipite ni subra tu na hua hivyo na hivi ndivo nilivyo.
Goooooddddd
 
Sijui ukurasa wa huyo ulie nae sasa ukiisha niombe nafasi
 
Mimi nilifanya call na sms tapping maumivu yake hadi Leo sijawahi pona, Manz hadi anasafiri ananizuga anaenda semina kumbe anaenda kugegedwa na najua kabisa maana texts na maongezi yao ninayo....akarudi akaendelea kuliwa siku nilimuita nikamwambia najua kila kitu alivyo wa ajabu yule shetani akanihamishia lawama mm eti mm ndo sababu kiukweli nilimuacha alilia sana hadi Leo ananiombaga radhi.....ila sijawahi pona yale maumivu😭😭😭😭
 
Mimi nilifanya call na sms tapping maumivu yake hadi Leo sijawahi pona, Manz hadi anasafiri ananizuga anaenda semina kumbe anaenda kugegedwa na najua kabisa maana texts na maongezi yao ninayo....akarudi akaendelea kuliwa siku nilimuita nikamwambia najua kila kitu alivyo wa ajabu yule shetani akanihamishia lawama mm eti mm ndo sababu kiukweli nilimuacha alilia sana hadi Leo ananiombaga radhi.....ila sijawahi pona yale maumivu
Mkuu, ulifanyaje hio kitu nipite humo?
 
Mimi nilifanya call na sms tapping maumivu yake hadi Leo sijawahi pona, Manz hadi anasafiri ananizuga anaenda semina kumbe anaenda kugegedwa na najua kabisa maana texts na maongezi yao ninayo....akarudi akaendelea kuliwa siku nilimuita nikamwambia najua kila kitu alivyo wa ajabu yule shetani akanihamishia lawama mm eti mm ndo sababu kiukweli nilimuacha alilia sana hadi Leo ananiombaga radhi.....ila sijawahi pona yale maumivu😭😭😭😭
Pole mkuu! Alikua mke au demu tu?
 
Back
Top Bottom