Mkasa gani uliwahi kukukuta kwenye uhusiano wa kimapenzi?

mwitasa

Senior Member
Dec 28, 2013
199
476
Kwangu mimi,

Mkasa wangu wa kwanza; ilikuwa mwaka 2015, nilianza mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwenye daladala na kubadilishana namba, kisha nikamwitia getoni kwangu tukafanya yetu huku nikitumia kinga. Baada ya mwezi 1 akatimba getoni kwangu akiwa na uniform ya shule, madaftari na kitambulisho cha shule huku akilia kuwa amepima ameonekana kuwa ana ujauzito ambao ni wa kwangu, alikuwa mwanafunzi wa form six.

Nikaruka futi sabini kuwa siyo wangu nikimwambia nilitumia zana na hadi mwisho haikupasuka yeye akabisha kuwa ndani ya mwaka mzima hajawahi kutembea na mwanamme yeyote nikakimbia phamacy nikanunua kipimo cha mkojo kweli kikaonyesha ana mimba. Nikaona hii soo miaka 30 jela hiyo ya kubaka na kumpa mwanafunzi mimba, nikaamua yaishe nikampa laki 2 akaenda kutoa hiyo mimba ukawa mwisho wetu.

Mkasa wangu wa 2 ilikuwa 2019 nilikutana na mrembo mmoja ndani ya City centre dar nikamwimbisha akaniambia yupo single. Tukawa wapenzi akawa anakuja kwangu nami naenda kwake. Baada ya miezi 6 ya mahusiano siku moja akanipigia simu huku analia kuwa amepata ajali ya bodaboda yupo amana kapasuka na kushonwa usoni hivyo zinahitajika laki 3 akanirushia picha, kweli usoni kulikuwa na bandeji nikamtumia hiyo hela.

Kesho yake nikaenda kwake kumpa pole. Baada ya kufika kweli nilimkuta kashonwa usoni ila nikatia mashaka ajali gani mtu asichubuke sehemu nyingine ya mwili wake?. Alipoingia bafuni nikazama kwenye pochi yake nikakutana na RB ya police ya kosa la kujeruhiwa. Ikabidi niingie kwa majirani kudodosa nikaambiwa alipigwa chupa ya bia na hawara yake wakiwa wamelewa. Nikamweleza huo ukweli tukaachana.

Mkasa wangu wa 3, mwaka 2020 nikapata kifaa kingine mara hii nikasema inabidi nitafute walau ambacho si kijanja kijanja. Nikakinunulia simu nikaiwekea program ambayo msg na simu zinazoingia kwake na kutoka nazipata. Kukidodosa kikasema kuwa jimbo liko wazi. Nikakilipia kodi ya miezi 3.

Basi ikawa wiki 1 tunalala kwake, 1 tunalala kwangu. Ilikuwa siku ya ijumaa naona boss wa ofisini kwake anamtumia msg kuwa jumamosi usiku anakuja kwake kula mzigo. Ile msg ilipoingia tu kabla hajamjibu nikampigia simu mpz wangu kuwa nimepata dharura nasafiri nyumbani kesho yake jumamosi asubuhi kwa wiki moja.

Jioni nikaenda nikalala kwake na begi yangu ya safari alfajiri ya jumamosi nikajifanya kuwahi stend ya mikoani. Nikaingia mtaani nikanunua toi nyeusi ya plastiki ya pisto wanazochezea watoto nikatia kiunoni nikarudi na kuchukua chumba cha gest ya jirani kwa mpenzi wangu kusubiria fumanizi.

Ilipofika saa moja jioni msg ya boss ikaingia inasema yupo njiani amsubirie mtaa wa pili maana hakumbuki njia ya kuingia anapoishi. Basi nikatoka gest haraka kama komandoo nikabana sehemu nayo ona mlango wa chumba cha mpenzi wangu.

Baada ya dk 10 namwona mpenzi wangu anatoka anaelekea alipoelekezwa na huyo boss nikamfuata kwa nyuma. Mara naona gari limepaki mbele moja kwa moja mpenzi wangu akapanda seat ya mbele likasogezwa mbele kidogo wakalipaki wakashuka wakaelekea kwa mpenzi wangu huku wamekumbatiana.

Nikawafuata kwa nyuma hadi wakaingia ndani na kurudishia mlango. Bosi alikuwa pande la mtu nikaanza kujiuliza na huu umbilikimo wangu nikianzisha varangati boss akanigeuzia kibao si atanipa Vitasa vya kutosha, lakini nikakumbuka msemo kuwa ukifumaniwa ghafla hata ukiwa mkubwa kama tembo unakuwa mdogo kama piliton, nikajipa ujasiri kusonga mbele.

Harakahara akili ikaniijia, kabla sijafanya fumanizi nikarudi kwenye gari nikatoa upepo tairi zote nikarudi kuja kufanya fumanizi. Nilipofika nje ya chumba cha mpenzi wangu nikapiga chabo kupitia dirishani nikaona mwanamme anavuliwa nguo zote zinawekwa kwenye kiti wakapanda kitandani. Kwangu ikawa sasa muda mwafaka kufanya fumanizi la ukomandoo.

Bahati mbaya kwao na nzuri kwangu kumbe ule mlango hawakufunga na funguo. Kugusa tu kitasa mlango ukafunguka huyo nipo ndani nikapeleka mkono kiunoni nikatoa toi langu wote wakashikwa na ganzi nikawaambia hapohapo mlipo msinyanyuke nitawamaliza.

Huku wote wakitetemeka kitandani wasijue la kufanya nikachukua nguo zote za yule bosi wake, simu yake na simu ya mpenzi wangu nikachomoa ule ufunguo uliokuwa mlangoni kwa ndani nikawafungia mlango kwa nje nikaondoka na ufunguo wa chumba, nguo za boss simu zao na kwenda kulala kwangu.

Njiani nikasachi nguo za boss nikakuta ndani kuna laki mbili na elfu 20 zikawa kifuta machozi changu kwenda kunywea bia, simu zao ninazo hadi sasa. Safari ya mapenzi na huyo binti ikaishia hapo. Sikujua kule ndani walitokaje wala sikutaka kufuatilia au kukanyaga mtaa huo.

Mwisho kwa sasa nimestaafu mambo ya mahusiano hadi hapo nitakapo oa.

Weka maoni au mkasa wako hapa tujifunze changamoto za usaliti kwenye mahusiano.
 
Kwangu mimi:
Mkasa wangu wa kwanza; ilikuwa mwaka 2015, nilianza mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwenye daladala na kubadilishana namba, kisha nikamwitia getoni kwangu tukafanya yetu huku nikitumia kinga. Baada ya mwezi 1 akatimba getoni kwangu akiwa na uniform ya shule, madaftari na kitambulisho cha shule huku akilia kuwa amepima ameonekana kuwa ana uja uzito ambao ni wa kwangu, alikuwa mwanafunzi wa form six. Nikaruka futi sabini kuwa siyo wangu nikimwambia nilitumia zana na hadi mwisho haikupasuka yeye akabisha kuwa ndani ya mwaka mzima hajawahi kutembea na mwanamme yeyote nikakimbia phamacy nikanunua kipimo cha mkojo kweli kikaonyesha ana mimba. Nikaona hii soo miaka 30 jela hiyo ya kubaka na kumpa mwanafunzi mimba, nikaamua yaishe nikampa laki 2 akaenda kutoa hiyo mimba ukawa mwisho wetu.

Mkasa wangu wa 2 ilikuwa 2019 nilikutana na mrembo mmoja ndani ya City centre dar nikamwimbisha akaniambia yupo single. Tukawa wapenzi akawa anakuja kwangu nami naenda kwake. Baada ya miezi 6 ya mahusiano siku moja akanipigia simu huku analia kuwa amepata ajali ya bodaboda yupo amana kapasuka na kushonwa usoni hivyo zinahitajika laki 3 akanirushia picha, kweli usoni kulikuwa na bandeji nikamtumia hiyo hela. Kesho yake nikaenda kwake kumpa pole. Baada ya kufika kweli nilimkuta kashonwa usoni ila nikatia mashaka ajali gani mtu asichubuke sehemu nyingine ya mwili wake?. Alipoingia bafuni nikazama kwenye pochi yake nikakutana na RB ya police ya kosa la kujeruhiwa. Ikabidi niingie kwa majirani kudodosa nikaambiwa alipigwa chupa ya bia na hawara yake wakiwa wamelewa. Nikamweleza huo ukweli tukaachana.

Mkasa wangu wa 3; mwaka 2020 nikapata kifaa kingine mara hii nikasema inabidi nitafute walau ambacho si kijanja kijanja. Nikakinunulia simu nikaiwekea program ambayo msg na simu zinazoingia kwake na kutoka nazipata. Kukidodosa kikasema kuwa jimbo liko wazi. Nikakilipia kodi ya miezi 3 . Basi ikawa wiki 1 tunalala kwake, 1 tunalala kwangu.
Ilikuwa siku ya ijumaa naona boss wa ofisini kwake anamtumia msg kuwa jumamosi usiku anakuja kwake kula mzigo. Ile msg ilipoingia tu kabla hajamjibu nikampigia simu mpz wangu kuwa nimepata dharura nasafiri nyumbani kesho yake jumamosi asubuhi kwa wiki moja. Jioni nikaenda nikalala kwake na begi yangu ya safari alfajiri ya jumamosi nikajifanya kuwahi stend ya mikoani. Nikaingia mtaani nikanunua toi nyeusi ya plastiki ya pisto wanazochezea watoto nikatia kiunoni nikarudi na kuchukua chumba cha gest ya jirani kwa mpz wangu kusubiria fumanizi.

Ilipofika saa moja jioni msg ya boss ikaingia inasema yupo njiani amsubirie mtaa wa pili maana hakumbuki njia ya kuingia anapoishi. Basi nikatoka gest haraka kama comandoo nikabana sehemu nayo ona mlango wa chumba cha mpz wangu. Baada ya dk 10 namwona mpz wangu anatoka anaelekea alipoelekezwa na huyo boss nikamfuata kwa nyuma.
Mara naona gari limepaki mbele moja kwa moja mpz wangu akapanda sit ya mbele likasogezwa mbele kidogo wakalipaki wakashuka wakaelekea kwa mpz wangu huku wamekumbatiana. Nikawafuata kwa nyuma hadi wakaingia ndani na kurudishia mlango. Bosi alikuwa pande la mtu nikaanza kujiuliza na huu umbilikimo wangu nikianzisha varangati boss akanigeuzia kibao si atanipa Vitasa vya kutosha, lakini nikakumbuka msemo kuwa ukifumaniwa ghafla hata ukiwa mkubwa kama tembo unakuwa mdogo kama piliton, nikajipa ujasiri kusonga mbele.

Harakahara akili ikaniijia, kabla sijafanya fumanizi nikarudi kwenye gari nikatoa upepo tairi zote nikarudi kuja kufanya fumanizi. Nilipofika nje ya chumba cha mpz wangu nikapiga chabo kupitia dirishani nikaona mwanamme anavuliwa nguo zote zinawekwa kwenye kiti wakapanda kitandani. Kwangu ikawa sasa muda mwafaka kufanya fumanizi la ukomandoo. Bahati mbaya kwao na nzuri kwangu kumbe ule mlango hawakufunga na funguo. Kugusa tu kitasa mlango ukafunguka huyo nipo ndani nikapeleka mkono kiunoni nikatoa toi langu wote wakashikwa na ganzi nikawaambia hapohapo mlipo msinyanyuke nitawamaliza. Huku wote wakitetemeka kitandani wasijue la kufanya nikachukua nguo zote za yule bosi wake, simu yake na simu ya mpz wangu nikachomoa ule ufunguo uliokuwa mlangoni kwa ndani nikawafungia mlango kwa nje nikaondoka na ufunguo wa chumba, nguo za boss simu zao na kwenda kulala kwangu. Njiani nikasachi nguo za boss nikakuta ndani kuna laki mbili na elfu 20 zikawa kifuta machozi changu kwenda kunywea bia, simu zao ninazo hadi sasa. Safari ya mapenzi na huyo binti ikaishia hapo. Sikujua kule ndani walitokaje wala sikutaka kufuatilia au kukanyaga mtaa huo.

Mwisho kwa sasa nimestaafu mambo ya mahusiano hadi hapo nitakapo oa.

Weka maoni au mkasa wako hapa tujifunze changamoto za usaliti kwenye mahusiano.
Iyo ya boss umetisha mkuu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hongera kama wewe kweli hujawahi kukutana na maswahibu ya mahusiano.
 
Aisee Iyo ya mwsho hatari Sana big up kwa hio Ila ungejua kilichoendelea ingekua Poa sana
 
Kwangu mimi,

Mkasa wangu wa kwanza; ilikuwa mwaka 2015, nilianza mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwenye daladala na kubadilishana namba, kisha nikamwitia getoni kwangu tukafanya yetu huku nikitumia kinga. Baada ya mwezi 1 akatimba getoni kwangu akiwa na uniform ya shule, madaftari na kitambulisho cha shule huku akilia kuwa amepima ameonekana kuwa ana ujauzito ambao ni wa kwangu, alikuwa mwanafunzi wa form six.

Nikaruka futi sabini kuwa siyo wangu nikimwambia nilitumia zana na hadi mwisho haikupasuka yeye akabisha kuwa ndani ya mwaka mzima hajawahi kutembea na mwanamme yeyote nikakimbia phamacy nikanunua kipimo cha mkojo kweli kikaonyesha ana mimba. Nikaona hii soo miaka 30 jela hiyo ya kubaka na kumpa mwanafunzi mimba, nikaamua yaishe nikampa laki 2 akaenda kutoa hiyo mimba ukawa mwisho wetu.

Mkasa wangu wa 2 ilikuwa 2019 nilikutana na mrembo mmoja ndani ya City centre dar nikamwimbisha akaniambia yupo single. Tukawa wapenzi akawa anakuja kwangu nami naenda kwake. Baada ya miezi 6 ya mahusiano siku moja akanipigia simu huku analia kuwa amepata ajali ya bodaboda yupo amana kapasuka na kushonwa usoni hivyo zinahitajika laki 3 akanirushia picha, kweli usoni kulikuwa na bandeji nikamtumia hiyo hela.

Kesho yake nikaenda kwake kumpa pole. Baada ya kufika kweli nilimkuta kashonwa usoni ila nikatia mashaka ajali gani mtu asichubuke sehemu nyingine ya mwili wake?. Alipoingia bafuni nikazama kwenye pochi yake nikakutana na RB ya police ya kosa la kujeruhiwa. Ikabidi niingie kwa majirani kudodosa nikaambiwa alipigwa chupa ya bia na hawara yake wakiwa wamelewa. Nikamweleza huo ukweli tukaachana.

Mkasa wangu wa 3, mwaka 2020 nikapata kifaa kingine mara hii nikasema inabidi nitafute walau ambacho si kijanja kijanja. Nikakinunulia simu nikaiwekea program ambayo msg na simu zinazoingia kwake na kutoka nazipata. Kukidodosa kikasema kuwa jimbo liko wazi. Nikakilipia kodi ya miezi 3.

Basi ikawa wiki 1 tunalala kwake, 1 tunalala kwangu. Ilikuwa siku ya ijumaa naona boss wa ofisini kwake anamtumia msg kuwa jumamosi usiku anakuja kwake kula mzigo. Ile msg ilipoingia tu kabla hajamjibu nikampigia simu mpz wangu kuwa nimepata dharura nasafiri nyumbani kesho yake jumamosi asubuhi kwa wiki moja.

Jioni nikaenda nikalala kwake na begi yangu ya safari alfajiri ya jumamosi nikajifanya kuwahi stend ya mikoani. Nikaingia mtaani nikanunua toi nyeusi ya plastiki ya pisto wanazochezea watoto nikatia kiunoni nikarudi na kuchukua chumba cha gest ya jirani kwa mpenzi wangu kusubiria fumanizi.

Ilipofika saa moja jioni msg ya boss ikaingia inasema yupo njiani amsubirie mtaa wa pili maana hakumbuki njia ya kuingia anapoishi. Basi nikatoka gest haraka kama komandoo nikabana sehemu nayo ona mlango wa chumba cha mpenzi wangu.

Baada ya dk 10 namwona mpenzi wangu anatoka anaelekea alipoelekezwa na huyo boss nikamfuata kwa nyuma. Mara naona gari limepaki mbele moja kwa moja mpenzi wangu akapanda seat ya mbele likasogezwa mbele kidogo wakalipaki wakashuka wakaelekea kwa mpenzi wangu huku wamekumbatiana.

Nikawafuata kwa nyuma hadi wakaingia ndani na kurudishia mlango. Bosi alikuwa pande la mtu nikaanza kujiuliza na huu umbilikimo wangu nikianzisha varangati boss akanigeuzia kibao si atanipa Vitasa vya kutosha, lakini nikakumbuka msemo kuwa ukifumaniwa ghafla hata ukiwa mkubwa kama tembo unakuwa mdogo kama piliton, nikajipa ujasiri kusonga mbele.

Harakahara akili ikaniijia, kabla sijafanya fumanizi nikarudi kwenye gari nikatoa upepo tairi zote nikarudi kuja kufanya fumanizi. Nilipofika nje ya chumba cha mpenzi wangu nikapiga chabo kupitia dirishani nikaona mwanamme anavuliwa nguo zote zinawekwa kwenye kiti wakapanda kitandani. Kwangu ikawa sasa muda mwafaka kufanya fumanizi la ukomandoo.

Bahati mbaya kwao na nzuri kwangu kumbe ule mlango hawakufunga na funguo. Kugusa tu kitasa mlango ukafunguka huyo nipo ndani nikapeleka mkono kiunoni nikatoa toi langu wote wakashikwa na ganzi nikawaambia hapohapo mlipo msinyanyuke nitawamaliza.

Huku wote wakitetemeka kitandani wasijue la kufanya nikachukua nguo zote za yule bosi wake, simu yake na simu ya mpenzi wangu nikachomoa ule ufunguo uliokuwa mlangoni kwa ndani nikawafungia mlango kwa nje nikaondoka na ufunguo wa chumba, nguo za boss simu zao na kwenda kulala kwangu.

Njiani nikasachi nguo za boss nikakuta ndani kuna laki mbili na elfu 20 zikawa kifuta machozi changu kwenda kunywea bia, simu zao ninazo hadi sasa. Safari ya mapenzi na huyo binti ikaishia hapo. Sikujua kule ndani walitokaje wala sikutaka kufuatilia au kukanyaga mtaa huo.

Mwisho kwa sasa nimestaafu mambo ya mahusiano hadi hapo nitakapo oa.

Weka maoni au mkasa wako hapa tujifunze changamoto za usaliti kwenye mahusiano.
Dah unahonga wewe
 
Unayempenda na kumthamini yeye Hana muda na wewe,
Ingawa umeandika kifupi lakini maneno yako yamebeba uhalisia.

Ukiona unamshobokea sana mtu, ujue mizani ya upendo kwako ipo chini sana kwake.

Na kuna mtu anayekushobokea wewe, yupo anakusorolea na kuumia kwamba atakupata lini, akakutokea, roho yako wala haiwezi kustuka wala kumuweka maanani.

Hiyo ndiyo kanuni ya mapenzi.
 
Dah. Hiyo ya Boss ni hatari, hapo unahitaji medani, uliwakilisha vyema

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cku Moja nilidamka mapemaa sana kisa nyege .nikasemaa kwakuwaa nashukaa makumbusho stend ndio niendee job hvyo nikifika makumbusho nipitie kwa dem wangu asubuh km saa 12 :30 na sikumpa hata taarifaa maana nikawaida kuibukaa muda wwt geto kwakee..
Bhana bhana nafika nakuta mlango wazi namkuta dem anabrash viatu vya kiume na suruali na shat kaviandaa hapo nikashtuka nikamuuliza kulikon tena nguo za nani hz ....
Dem walaa hakujali kunijibu chcht nilichomuuliza , akaniambiaa tokaa njee au nikuitiee mwizii nikajua utan kumbe dem alimaanishaa ,mara naona mzee anaingiaa na kajifunga kanga katokaa bafunii daaaaa...niliondoka kinyongee na nyege zangu ...
 
Pole sana
 
Nakumbuka wakati huo Facebook ndio inaanza anza...nikamnunulia wife bonge la simu..smartphone. Nikamfungulia account facebook...but password nikawa nayo Mimi na yeye pia.

Bwana Bwana....ghafla nikaona nikiwa nae home anakua busy sana na simu....mwamba nikawa najiuliza kapatwa na nini huyu binadamu?...kumbe kuna mfanyakazi mwenzie wanadanganyana mapenzi...

Basi one-day..nikamkeep wife busy...then nikaingia facebook yake...nikaanza kuchat na jamaa mpaka nikamuingiza king kuwa aje pale home ale mzigo.

Kabla hajaja...nikamchana wife anieleze ukweli...akakubali ni kweli kuwa kuna jamaa anamtaka kimapenzi na wanafanyakazi wote ofisi Moja. Basi tukapanga Mimi na wife nimkamate yule jamaa.

Nakumbuka niliingia room na kujificha ...jamaa akafika...mpaka seating room....wakati bado anashangaa...nikaibuka na kuubana mlango wa kutokea....na bonge la bisu mkononi...nikamwambia jamaa...kaa chini....jamaa full kitete....nakumbuka alikaa kiislamu kama sinia la ubwabwa lipo mbele yake....

Then nikaanza kuongea nae...Moja baada ya jingine...nikampa shule ya maana....kisha nikamwambia ...Kaka nimekusamehe. Ondoka mara Moja na usirudie tena.

Jamaa akatoka nduki bila hata kuangalia nyuma.
 
Nakumbuka wakati huo Facebook ndio inaanza anza...nikamnunulia wife bonge la simu..smartphone. Nikamfungulia account facebook...but password nikawa nayo Mimi na yeye pia.

Bwana Bwana....ghafla nikaona nikiwa nae home anakua busy na simu....nikawa najiuliza kapatwa na nini?...kumbe kuna mfanyakazi mwenzie wanadanganyana mapenzi...

Basi one-day..nikamkeep wife busy...then nikaingia facebook yake...nikaanza kuchat na jamaa mpaka nikamuingiza king kuwa aje pale home ale mzigo.

Kabla hajaja...nikamchana wife...akakubali ni kweli kuwa kuna jamaa anamtaka kimapenzi. Basi tukapanga Mimi na wife nimkamate yule jamaa.

Nakumbuka niliingia room na kujificha ...jamaa akafika...mpaka seating room....wakati bado anashangaa...nikaibuka na kuubana mlango wa kutokea....na bonge la bisu mkononi...nikamwambia jamaa...kaa chini....jamaa full kitete....nakumbuka alikaa kiislamu kama sinia la ubwabwa lipo mbele yake....

Then nikaanza kuongea nae...Moja baada ya jingine...nikampa shule ya maana....kisha nikamwambia ...Kaka nimekusamehe. Ondoka mara Moja na usirudie tena.

Jamaa akatoka nduki bila hata kuangalia nyuma.
Umetisha mzee
 
Back
Top Bottom