Ulichukua maamuzi gani ulipokuta SMS za miadi za ex wa mpenzi wako kwenye simu yake

Alikuhoji nani ? NikajikutA nimepoa taratibu nikanunua barmed zangu wawili nikakodi room mbili basi nikawa na wala kizam kupoteza hisia fulani hivi asubuhi nikamtumia zile text wife
Wewe ni mwanaume halisi, huna SIO KILA VITA NI YA KUPIGANWA! Japo sijapenda suluhisho la kuchukua Barmaids..... Next time usifanye uliyoyafanya.

Life is too short kujiletea unnecessary stress. Niko Mwenge Dance Club njoo tugonge mbili tatu
 
Sawa mkuu before nimejilekebisha
 
Sasa huhisi kama ana kuchukulia poa tu yani hakuna mapenzi hapo, kwako amejihifadhi tu ila mapenzi yapo kwa ex ?? ..
 
Kusaidiana ina weza kuwa kamzidi kiuchumi ulie nae kwa sasa kwaiyo ukiwa na shida ana saidia, kingine ina wezekana ulimpenda sana na bado Una mpenda.
Kwa nini mliachana? Haiingii akilini kama watu watakuwa wanajiendekeza kiasi hiki.
 
Kwa nini mliachana? Haiingii akilini kama watu watakuwa wanajiendekeza kiasi hiki.
Kuna namna nyingi za mahusiano kuvunjika,mfano kuishi mbali na mpenzi wako mfano Dar na Kigoma, labda wazaz kumkataa mwenza wako, kupata mtoto mkiwa Imani tofaut mwisho iman ika watenganisha lakin bado mkawa mna pendana, au Mmoja wapo kwenda nje ya nchi kikazi kwaiyo siku akija mkionana lazima mtaludiana kiwiz wizi, tena ukute ulienae kwa wakati uo maelewano siyo mazur.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huhisi kama ana kuchukulia poa tu yani hakuna mapenzi hapo, kwako amejihifadhi tu ila mapenzi yapo kwa ex ?? ..
Naona unifumbua masikio Mkuu hebu ongeza nyama nyama kidogo nikuelewe kiundani zaidi
 
Back
Top Bottom