Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,871
- 7,347
Sorry mkuu nilikua maporini huko network shida, kuhusu mtaji wa dagaa hata 500k unaanza kwasababu gunia la debe 10 linarange 180k-250k kutokana na upatikanaji wa dagaa unaweza kuanza hata na gunia mbili kama hupeleki mbali sana ila kama upo vizuri 1m ni mtaji mzuri zaidi, kuhusu usalama visiwani upo tuu cha muhimu fanya kilichokupeleka basi na usimkopeshe mvuvi hela ila biashara ya dagaa kwangu mimi changamoto lilikua somo kama unaanza tafuta kwanza wateja then ndo ingia mzigoni. Mwanza soko lipo kirumba ila pale hakuna biashara kuna madalali wapuuzi sana sikushauri.Kiongozi vp upande wa dagaa kutoka visiwani na kuwaleta mwanza? Hapo naulizia mtaji wa shilingi ngapi? Na sehemu ya kuuzia ukishazifikisha mwanza na ukiwa mgeni ukienda kule visiwani hamna shida au usumbufu unaoweza kukupata?
Yohimbe bark mpe taarifa za muda huuMkuu nipe projections nisijekuwa nimepigwa kamba nalisha watu matangopori. Ukinunua dagaa wabichi ukawaanika na kutoa gunia moja, utatumia kiasi gani. Na ukija Dar litauzwaje, na gharama za usafiri ni kiasi gani. Najua kuna price fluctuations ila inakuwa reflected kwa mzalishaji na kwa consumer.
Nikiwa sehemu nzuri nitamjibu mkuu, ila biashara ya kununua dagaa mbichi na kuanika kuna uwezekano wa kutoka kisiwani kwa nauli ya kuchangiwa😅Yohimbe bark mpe taarifa za muda huu
Biashara ya dagaa niliifanya 2017-2018 ilinilipa sana kwa kipindi hiko nikaja kuleta utoto dah[emoji35]Sorry mkuu nilikua maporini huko network shida, kuhusu mtaji wa dagaa hata 500k unaanza kwasababu gunia la debe 10 linarange 180k-250k kutokana na upatikanaji wa dagaa unaweza kuanza hata na gunia mbili kama hupeleki mbali sana ila kama upo vizuri 1m ni mtaji mzuri zaidi, kuhusu usalama visiwani upo tuu cha muhimu fanya kilichokupeleka basi na usimkopeshe mvuvi hela ila biashara ya dagaa kwangu mimi changamoto lilikua somo kama unaanza tafuta kwanza wateja then ndo ingia mzigoni. Mwanza soko lipo kirumba ila pale hakuna biashara kuna madalali wapuuzi sana sikushauri.
ilikuwaje mkuuBiashara ya dagaa niliifanya 2017-2018 ilinilipa sana kwa kipindi hiko nikaja kuleta utoto dah[emoji35]
Mademu kwa sana sio mkuu😅Biashara ya dagaa niliifanya 2017-2018 ilinilipa sana kwa kipindi hiko nikaja kuleta utoto dah[emoji35]
Wasikudanganye, Biashara bila kujiungamanisha na upande wowote wa Ulimwengu wa Roho, kutoboa ni ngumu sana, kila mtu ana mbinu za siri za kujiungamanisha na ulimwengu wa roho
Ukianza kuitegemea biashara ambayo haijakua hapo ndio unakua unaiua taratibu. Hongereni sanaOk wakuu sisi nyumbani tulianza duka la mangi. Mwanzo ulikua mgumu maana biashara ilikua kama imedumaa. Apo apo tunategemea itulishe apo apo udokoe viela..
Mpaka kuna muda mama akatamani kuuza tu io biashara au afunge. Kuna muda akapata viela kazini tukapunguza kulitegemea duka kama miezi 6 ivi. Aisee biashara ilifumuka vibaya na kukua kuliko kawaida
Hii biashara nilikua nafuata mwenyewe songea na baada ya kuzoeana sana na wauzaji walikuwa wananipa kwa mali kauli nije kuuza DSM halafu nikiuza natuma hela aisee kwa mara ya kwanza nilishika 1M kupitia hii biashara.ilikuwaje mkuu
Daah huenda ungeendelea sahivi ungekuwa mbali sana mkuuHii biashara nilikua nafuata mwenyewe songea na baada ya kuzoeana sana na wauzaji walikuwa wananipa kwa mali kauli nije kuuza DSM halafu nikiuza natuma hela aisee kwa mara ya kwanza nilishika 1M kupitia hii biashara.
Sema utoto ulikua mkubwa kupiga pumbu halafu baadae nikawa naendekeza kulemba chumba tu bila kuwekeza kwingine jambo ambalo niliwekeza nalo halikunilipa nilinunua boda boda(biashara kichaa). Baadae nikahama Dar niende mkoa kusoma(huu ndo usenge mkubwa nilifanya) kwani nilipoteza wateja na connection maana nilikua nimemuachia mtu akawa ana devela mwisho ikawa chali.
Niliporudi DSM nikataka kuirudia nikafeli nikapotezea kwani masoko yale yalikua yashachukuliwa na watu wengine. Mimi nilikua nachukua mzigo songea labda wa laki 3 naleta DSM kisha nasambaza kwenye magenge makubwa wanauza mzigo ukiisha ndani ya siku 5-7 nafuata mpunga nilikua na soko la uhakika sana na faidi ilikua nusu kwa nusu.
Mafanikio niliyofanya kupitia Dagaa nyasa 2017-2018
[emoji117]Kununua boda boda 1
[emoji117]Vitu vya ndani vya kisasa
[emoji117]Kufungua akaunti ya bank ilifika hadi 3M.
[emoji117]Kujitegemea kula,kuvaa na kodi
[emoji117]Exposure ya kusafiri sana na kuyajua maisha.
Acha masiha mkuu[emoji1787]Hii nakuunga mkono
Kuna kipindi nilikua Moro, nikafungua kibanda cha chips,niliuza kama siku tano ,maamaaee kilichofuata ,wateja wanapita mbele ya kabati wanaacha viazi wanaenda kupanga foleni Kwa majirani huko,
Asubuhi kila nikienda madukani pale Morogoro mjini kununua vitu ,kila duka unaloingia wanachoma udi mpaka unajiuliza kama wanapunga mashetani
Nikahamisha mavitu yangu mchana kweupe nikaacha Banda
Kwa wenyeji wa Morogoro,wanapafahamu maeneo ya IPOIPO ukiwa unaelekea Sua, mazimbu campus
Dah! PolesanaNilianza kufanya tgo pesa baada ya kumaliza chuo cku moja narudi home ucku wezi wakanikaba na kuchukua kila kitu na nusu waniuwe kwa vitu vya ncha kali aisee inaogopesha sana
Jichanganye[emoji28]Wanasema huko Dar kila biashara inalipa, kila kitu ukiuza unapata mahela, sijui Ni kweli?
Wafanyakaz na wasomi wengi hili ndo linawaangusha Sana kibiasharaKitendo tu cha kujaribu jaribu biashara kadhaa kinaonesha huna uvumilivu na husomi ethics za biashara husika !
Ipo hivi chagua biashara unayoipenda kutoka moyoni, halafu wekeza muda nguvu na akili yako hapo , biashara ikifeli rudia tena biashara hiyo hiyo huku ukuangalia maeneo Uliyofeli mwanzo na weka mbinu mpya kwa biashara hiyo!
Kubadili biashara hakutakusaidia kitu maana kila siku utakuwa unakumbana na changamoto mpya kwenye kila biashara mpya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikiwa sehemu nzuri nitamjibu mkuu, ila biashara ya kununua dagaa mbichi na kuanika kuna uwezekano wa kutoka kisiwani kwa nauli ya kuchangiwa[emoji28]
Mafanikio ndani ya mda gani mkuuHii biashara nilikua nafuata mwenyewe songea na baada ya kuzoeana sana na wauzaji walikuwa wananipa kwa mali kauli nije kuuza DSM halafu nikiuza natuma hela aisee kwa mara ya kwanza nilishika 1M kupitia hii biashara.
Sema utoto ulikua mkubwa kupiga pumbu halafu baadae nikawa naendekeza kulemba chumba tu bila kuwekeza kwingine jambo ambalo niliwekeza nalo halikunilipa nilinunua boda boda(biashara kichaa). Baadae nikahama Dar niende mkoa kusoma(huu ndo usenge mkubwa nilifanya) kwani nilipoteza wateja na connection maana nilikua nimemuachia mtu akawa ana devela mwisho ikawa chali.
Niliporudi DSM nikataka kuirudia nikafeli nikapotezea kwani masoko yale yalikua yashachukuliwa na watu wengine. Mimi nilikua nachukua mzigo songea labda wa laki 3 naleta DSM kisha nasambaza kwenye magenge makubwa wanauza mzigo ukiisha ndani ya siku 5-7 nafuata mpunga nilikua na soko la uhakika sana na faidi ilikua nusu kwa nusu.
Mafanikio niliyofanya kupitia Dagaa nyasa 2017-2018
[emoji117]Kununua boda boda 1
[emoji117]Vitu vya ndani vya kisasa
[emoji117]Kufungua akaunti ya bank ilifika hadi 3M.
[emoji117]Kujitegemea kula,kuvaa na kodi
[emoji117]Exposure ya kusafiri sana na kuyajua maisha.