Wakuu, ile kazi niliyokuwa naitegemea naona inachechemea kwahy suala la kuondoka hapa kwa shangazi naona liko 50/50 ila inshallah namuomba Mungu atie mkono mambo yarud kama kawaida. 😎Kuna kiasi cha pesa nasubiri kitimie, najua kitatimia kabla ya mwezi wa 10 ambao ndio mwezi naotaka kuingia ghetto.
Sasa hv nimefikisha 75% ya pesa nayoitaka kuanzia nayo maisha ya ghetto.
Sijaajiriwa Ila kuna mahali najitolea hvy kuna vipesa najipatia.
Nilitaka kukushauri hv hv, polish ya rangi ya maji hv ili king'aeNimemuambia nataka kiwe hvyo hvyo apige vanish yenye rangi ya maji.
Sawa, karibu uchukue notesNiliutafuta sana huu uzi.
Safi mzimaWANETU WA MAGHETONI NIAJE
MZIMA TUUUUUU TUPO TUNAPAMBANAAA NA LIFE HILISafi mzima
Upo chuo gani..?YEAHHH KUNA SONG MOJA LINAITWA SIR GOD NALIPENDA SANA HASA KWENYE ILE VERSW YA NILIUZA SIMU ILI NINUNUE MAZIWA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MIE NAONGEZEA NILIUZA RICE COOKE ILI NIKANUNUE WALI,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,LOOKS FUNNY BUT SERIOUS ASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
JOBLESS GRADUATE SELF EMPLOYEDUpo chuo gani..?
Hiyo rice cooker ulitolea wapi.?JOBLESS GRADUATE SELF EMPLOYED
muhimuOoooh nikapange sasa daah
Kodi ya miezi sita inatosha kabisa mkuumuhimu