Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Aah unajuana na seller kumbe…..mi nilitafuta sana kwa 500 nikakosa kila sehemu ni 650 wengine hadi 700 huko ikabidi tu nichukue hivo hivo i had no other option mkuu
Mi kila Ninacho panga kuwa nacho, lazima nitafiti kuona loop holes.

Kununua kwa watu nilisha koma, nili wahi chukua lg nchi43, isi anze kuzingua taa.
 
Back
Top Bottom