Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,201
- 7,754
Tatizo lingine ninalopata ni geti la kutokea unakuta limefungwa unagonga weeh watu hawasikii au unakuta hawapo
Leo nilipeleka baadhi ya vitu nikakuta geti limefungwa nikagongaa lakini hamna majibu...mbaya zaidi madirishi nyumba nzima ni ya vioo watu wakijifungua kwenye Tinted utagonga geti mpaka utubu

Nilichofanya leo ni kuruka ukuta na kufungua geti na kuingiza vitu vyangu ndani

Yani bado sijahamia lakini nishaanza kupata misuko suko


