cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
aweeee
Kinabowaaaa
Nimeanzia nacho maisha 2020
2022 nimekiondoa
Na nilikimix na miguu ya mbao lkn with a time nilikichoka tu





mie cha chuma mwanzoni nilianzaa nacho, baadae kunaa papah m1 aliwahi kuja room kwangu ndo akasema sio kizuri cha chuma, ndo akanisaidia kubadilishaa. Kilitengenezwa mkoani kwetu afu kilisafirishwaa kuja Dar.



