GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 594
- 1,037
ExcellentNilianza maisha ya ghetto 11/5/2022 nilikuwa na mkeka na ndoo za maji.Baada ya wiki mbili nikanunua godoro.Last week nimeongeza mazagazaga..Kitanda, showcase na tv na mazagazaga mengine.Mapambano yaendelee.View attachment 2439245
,naweza kupika yaani najua na ninaweza,

