Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

tusiopika
Vifriji havina hata nyanya
FF8BFE3D-70AD-4379-9ED6-E13CB3AE1077.jpeg
 
dyadyaaa nikae nyumba yenye wapangaji wengi, si ndo ntakua maongezi ya kila vikao vyao.

Nashukuru nilipo kila mtu ana mind bussiness zake. Afu sio majobless, jobless n mie pekee angu.
wadada mna maghubu sana nyie. Ndio mnaongoza kusemana nyumba za kupanga.
Sehemu kama hiyo kuishi raha sana. Kila mtu anamind business zake. Amani tupu. Tatizo likitokea lina tatuliwa life linaenda.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
dyadyaaa nikae nyumba yenye wapangaji wengi, si ndo ntakua maongezi ya kila vikao vyao.

Nashukuru nilipo kila mtu ana mind bussiness zake. Afu sio majobless, jobless n mie pekee angu.
😂😂😂😂 nakuelewa
 
Back
Top Bottom