

daah umenikumbusha imenitokea tu mwezi wa 3 hapo mwaka huu GF wangu alikuja dar ila alifkia kwanza kwa aunt yake.Maana aliniambia anaitaji apajue
sikuzote huwa anakujaga halafu hawaonani na ndugu zake sasa kakaa almost wiki 2 kwa aunt yake target yake ilikuwa wiki mbili zijazo kukamikisha mwezi aje kumalizia kwangu.
Akaniambia anahitaji kuja ikabidi nimtose tu kuwa naenda kujengea kaburi la babu na mimi ndo mjukuu pekee nilioteuliwa kwenda kulijengea kaburi lake maana mfukoni sielewi kazini bado hayaeleweki bado izo wiki mbili ambazo angekuja kuzimalizia kuna yeye Kula,kutoka out,nauli yake mambo kibao.
Najua alimind sana tu sababu alivokuja tumeonana mara 3 tu,eid ya kwanza alinitext tu hangout nikampa kasababu yote kwa yote mda mwingine hawa dada zetu wanaona tunawakataa wanatufikiriaga vibaya ila mara nyingi hali zetu huwa mbaya mifukoni.