Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kabisa ukiona vipi nenda na mwanaume yoyote rafiki au kaka yako maana nyinyi ladies huwa mnaonewa sana kwenye mambo ya ufundi baadhi ya vitu hamvijui labda kama umevisomea ndipo huwezi kudanganywa [emoji4][emoji4]
[emoji23]kuna fundi alikuja nitengenezea taa,kanambia atamleta fundi hapa home,nisitoke nalo watanipiga
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sipo mwenyewe ujue
Hapo sawa maana ile kuona tu kitanda tena kipya sijui hii ilitokana na nini, mara shuka, viatu vyako, mara upite pite unaenda kupika, mara ukaoge.

Yaani unaweza kujikuta unaaza kutengeneza fridge wakati siyo kazi uliyoitiwa ilimradi tu muda usogee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom