Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Hapo sawa maana ile kuona tu kitanda tena kipya sijui hii ilitokana na nini, mara shuka, viatu vyako, mara upite pite unaenda kupika, mara ukaoge.

Yaani unaweza kujikuta unaaza kutengeneza fridge wakati siyo kazi uliyoitiwa ilimradi tu muda usogee
mafundi bhana
 
Utaipata tena maeneo ya Ubungo yupo dalali mmoja mzee wa makamo. Shukia Legho nenda na barabara inayopanda kwenye vibanda wanao choma kiti moto, ukifika kiwanda cha Tanica cha kahawa upande huo huo wa kulia utaona kibanda cha kushona viatu na genge ulizia dalali wa nyumba.

Anaitwa Mzee Shayo. Fasta utamuona, atakusaidia sana.
@mzabzab
 
Noma sana.Ukifanikiwa naomba unijulishe nikupe hongera zako, na kama utaenda Mbeya unipe mrejesho wa hali uliyoikuta huko pia ,sijawahi kufika.
Naenda alhamisi nitakaa kama siku 2,,,,,mbeya pazuri kiutafutaji,nimepapenda fursa zipo za kutosha.
 
Tokea nianze kusoma huu uzi nimejifunza sana.

Ila picha ya kwanza ndio nilivyoanza,
Na hiyo ya pili ndipo nilipo saivi.

Historia yangu ni ya siri kidogo.
Ila in short maisha baada ya chuo yasikie kwa jirani.View attachment 2245716
IMG_20220529_202729_570.jpg
 
Back
Top Bottom