Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,960
- 136,789
BadoMtaani kugumu! Hamna alierudisha mpira kwa kipa?
BadoMtaani kugumu! Hamna alierudisha mpira kwa kipa?
Jumaa MubarakHahaha life la kininja

Khair Mubarak Jumaa Mubarak![]()
We utaoa kweli? Naona tui la Nazo hapo




Jamaa hawezi oa hivi karibuni. Anaweka hadi Nazi kwenye wali??Mkuu umekuna nazi? Au umetia wapi ilo tui![]()




Ni kweli kabisaUkikutana na mshua ana roho mbaya halafu kicheche mbaya pengine analipizia hustle alizokomaa nazo kabla hajakaa kwenye reli
RecipesTaja Ingredients mkuu kwanza, kesho nikitoka mzigoni nishushe Kama hii
nazi nakuniwa huko huko gengeniMkuu unapata vp muda wa kukunwa nazi
Kila mwaka, naghairi kuoa,We utaoa kweli? Naona tui la Nazo hapo![]()
Well said mkuuVijana wameamua kukomaa kitaa mpaka kieleweke, japo kwenye upambanaji unapoona umezidiwa mashambulizi na mpinzani wako unaamua kuretreat ili ujipange upya inakuwa siyo udhaifu bali kupata muda wa kusoma mbinu za adui yako ili urudi upambane naye.
Maisha siku zote ni mapambano kuna kupiga, kuna kupigwa, kuna kupata matokeo suluhu na kukubaliano nayo.
Ila mbishi na mpambanaji asiyechoka na kukata tamaa ndiye siku zote hushinda.

hiyo ni moja ya sababu ya kuingia mtaaniKinachowakimbizaga home ni hicho tu.......![]()
Nunua kitanda kijana.
Kwa hiyo unakaa kwenye kibao cha Mbuzi na kukuna nazi kabisa yaani!!

Sometimes nataka kupika ila nikifikiria vyombo tu dah mood inakata,naanza kumtafuta mama nijazie..nikifikiri vina wiki kadhaa had vimegandiana..Muone controla atakupa muongozo jinsi ya kuosha vyombo![]()