Ulianzaje kukaa gheto?

GHETTO NI CHUMBA PEKEE AMBAPO UnaWEZA KUJIFUNZA NAMNA YA KUISHI MWENYEWE,, NA DUNIA .NA. PIA .UNAPOWEZA FANYA .MATUKIO YA DUNIA LAKINI YASIWEZE KUREKODIWA MILELE. ,,MATUKIO HAYO NI KAMA .
1.KUPIGA PASS NDEFU ........(ghetto gangsterZ hapa wanaelewa vizuri tuu so .Siwezi ongezea )


2.KUWA BAHILI (hata. Hela ya. Sabuni ya PUCHU unaibania aseeeee kwa boys unapiga. Kavuu .Yaaani. KIGANJA .KWA NGOZIIIII.Na kwa Girls .ANaweza weka HELA CHA CHAKULA KWA AJILI YA .KUTENGENEZA NYWELE KWA WIKI the hiyo hela ya chakula anapunguza kila siku anakuwa anashindia .MKATE NA MAJI YA MOTOO ASEEEE .(nimeshuudia .tena mida hii girls wanalika sana yaaaani)) .)

3.KUFANYA. UJANA KAMA WOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE . ( Hapa ni kama kwa boy . Kut.m.a. sana .Kupiga PUCHUUUU .CHUPUUUUU . ,,kuangalia porn kama yoteee .... Kurudi saa .Nane kutoka DISCO/NIGHT CLUB . Na malaya wa .kulala naee. Na mengineyooo kama yoteeeee , Kwa Girl
ku..m.wa sana. Yaaaaani kuangaliaa porn .Hasa zile. Za. ANAL sex .(Hapa for sure nmeshuudia kwa macho yangu mdada. Safi physically. Kwenye. LAPTOP yakee yaaani . Ka download. PORN SEX VIDEOS .CATEGORIES ZA ANAL .SEX Nilishindwa kuamini. Ila fresh tuu maana nishamla tena kumla sio mara moja hata wikii hii inayo anza naweza mla tena....Na .kufanya ujinga .mwingine wanaoujua wao wenywe aseeee Na. The same likeeeeeeeee .kama kulana vharage.....


4.KUFANYA MAMBO YA KIMAENDELEO HASA KWA VIJANA TUNAOJIELEWA YAANI .HAPA .TUNAELEWA SHUGHULI GANI .ZINA BEING EVOLVED WHEN YOU ARE IN GHETTO LIFE MFANO. KUPATA IDEAS ZA KUANZISHA mpesa, halo pesa ,and IDEAS za kutengeneza .UBUYU .CHOCOLATE ,na kuuza . AU KUNUNUA .CATTON ZA MAJI KAMA CHUPA .50 KWA BEI JUMLA THEN UNAKUWA NA KI FRIJI KIDOGO CHA KUPOZEA MAJI.THEN UNAKUWA UNATEMBEZA CHUONI UNAKOSOMA .KWA KILA .CLASS KWA BEI YA DUKANI ( HAPA FAIDA ITAONEKANA TUUU) .the same like . ,




5. KUTENGENEZA MARAFIKI WA MILELE /KUDUMU au wa MSIMU TUU ....( HAPA INAJULIKANA NGOJA NI DADAVUE KULINGANA NAMMY WAY OF PERCEPTION ..HAPA MARAFIKI WALE WA.MSIMU .YAANI KAMA UNA LAPTOP WANAKUWA WANAKUJA.KUCHEKI MOVIES TUU THEN WANASEPA ZAO. AU KAMA WANA MADEMU /MA BWANA ZAO .WANAKUWA WANAOMBA GHETTO LAKO KWA AJILI YA SHOW , AU KAMA UNA KI PARTY KIDOGO WANAKUJA WANA STAREHEE THEN BAADA YA SIKU.MOJA HATA .HAWAKUPI SALAMU PINDI MKUTANAPO....N.K.........KWA UPANDE WA MAISHA .ASEEEEEE UKIONA .FRIEND ANAKULETEA .IDEAS ZA BIASHARA KAMA .KUANZIA .MPESA KIOKSI KINACHOTEMBEA (KAMA UKIPIGIWA SIMU NJOO CLASS UNIWEKEE HELA UNAENDA ,,HAPA PROFITS UTAIONA TUU ASEEE ...kwa wanaoelewa lakini ) NA OTHER .BUSINESS IDEAS .aseeee huYO sio wa kuachaaaana .naeee hata kama akiwa. Opposite sex from you.... MAANA KAMA .AKILI ZIKIKOMAA MNAWEZA UNA. PARTNERSHIP / COMPANY . hata za .CATERING au HOUSE KEEPING MKAPIGA HELAAA . And the same likeeeeee.





HINT....
MANENO .YANGUU SIO SHERIA . ILA YANATOKANA .NA EXPERIENCE YANGU TOKA NIANZE MAISHA YA GHETTO YA .UNIVERSITY HAPA DAR ES SALAAM....*****


lastly .weekend njema .wanajukwaaa . Hasa wale .tulio na miaka 20s ASEEEE MAANA HUU NDO MUDA WETUUU
Hahaa apo kwa puchu imenigusa kabisa
 
Mimi nilivyomaliza chuo mwaka jana nilirudi home sina hata pesa niliyokuwa naweka akiba kwa sababu nilikuwa sijapata mkopo baada ya kukaa home nilipata kazi mkoa wazazi wakanipa pocket money kiasi kidogo pamoja na nauli, nilitafuta chumba cha 25000 nikalipa kodi ya miezi miwili na godoro langu dogo. Maisha yalikuwa siyo mazuri sana cz mshahara nilikuwa nalipwa laki mbili na nusu tu. Nimekaa mwezi mmoja najitegemea ndugu yangu akaja akafikia kwangu kwa lengo la kuwa amekuja kufanya interview sehemu flani. Cha kushangaza hiyo interview hakwenda alikuja tu kupumzika. Maisha ya geto yalianza kuwa magumu sana cz mwanzoni nilikuwa najibana ili ninunue kitanda na vitu vinginevyo vya ndani. Huyu ndugu yangu alikuwa hajali wala hakuwa na mpango wa kuondoka kurudi kwao na isitoshe alileta marafiki zake wakawa wanakaa kwangu hata wiki mbili! niliwaza njia za kumkimbia nikashindwa, bahati nzuri nilipata training ya kazi nyingine ya muda, nikapata upenyo wa kumuondoa. Geto nililivunja nikarudi home kwa sababu kazi nilifanya karibu na nyumbani. Ila kwa sasa natamani tena nitoke nikapange tena nipambane na maisha.
ONYO. Ukiamua kupanga usipende sana kuendekeza ndugu. Watakurudisha sana kimaendeleo.
 
Basi mwanaume nikafunga safari mpka kwao na usafiri wangu wa boda boda,mara ya kwanza kuniona walidhani syo mwanafunzi bali boda boda tu,dah sku hii siwezi kuikumbuka katika maisha yangu kwani nilizungukwa na famila ya watu kama 15 nikiwekwa kati but sababu mke wangu nlikuwa nampenda nkakubali mimba na kuelezea future yetu ukweni hope kwa jinsi nlivyokuwa naongea walitokea kunipenda mno hasa kwenye uchambuzi wa hoja na kuwajibu kwa ustaarabu japo kuwa walikuwa wananipump niongee pumba,mwisho wa siku naambiwa una malengo gani na mwanetu kidumu nkafunguka mbaba mkwe alitokea kunikubali mno mwisho wa siku akanambia mwanangu,kwa kazi hyo ya boda boda ni hatari ngoja tuone tutawasaidia vipi watoto zetu,nikaruhusiwa kuondoka nikiwa na furaha
Nimejikuta nalike tu hii story mkuu hongeraa
 
Mh! hii ya leo balaa,,, kila MTU nilipomaliza chuo,, ooh! First year, watu tumetoka mbali... Kitendo cha kumaliza la saba ndo tiketi ya kuhama nyumbani. Nakumbuka kauli ya mzee huu ndo mlo wako wa mwisho cha ajabu sikumuelewa kilichonikuta asbuh nilijikuta natimuliwa ndani kama mbwa koko aliyekosea njia.nikijichek nimevaa kaptula na kaushi nikajichanganya kitaa.. okota skrepa sana!! nikajichanganya car wash zoote nikawa najulikan mwish wa siku nikaingia geleji. Ila geto letu ndo lilikua balaa watu 14 chin maboksi utajua pakula alafu kunuka kam beberu ilikua kawaida
Dah nimejikuta nakupa like tu big up brah
 
Daah mkuu fanya tu utoke hapo hom..ila hapo kweny ndugu ndo lawama...bora upate aliye tayar kushare cost,kulko wazembe wapenda kutonga...ila umetisha sana kaka
Mimi nilivyomaliza chuo mwaka jana nilirudi home sina hata pesa niliyokuwa naweka akiba kwa sababu nilikuwa sijapata mkopo baada ya kukaa home nilipata kazi mkoa wazazi wakanipa pocket money kiasi kidogo pamoja na nauli, nilitafuta chumba cha 25000 nikalipa kodi ya miezi miwili na godoro langu dogo. Maisha yalikuwa siyo mazuri sana cz mshahara nilikuwa nalipwa laki mbili na nusu tu. Nimekaa mwezi mmoja najitegemea ndugu yangu akaja akafikia kwangu kwa lengo la kuwa amekuja kufanya interview sehemu flani. Cha kushangaza hiyo interview hakwenda alikuja tu kupumzika. Maisha ya geto yalianza kuwa magumu sana cz mwanzoni nilikuwa najibana ili ninunue kitanda na vitu vinginevyo vya ndani. Huyu ndugu yangu alikuwa hajali wala hakuwa na mpango wa kuondoka kurudi kwao na isitoshe alileta marafiki zake wakawa wanakaa kwangu hata wiki mbili! niliwaza njia za kumkimbia nikashindwa, bahati nzuri nilipata training ya kazi nyingine ya muda, nikapata upenyo wa kumuondoa. Geto nililivunja nikarudi home kwa sababu kazi nilifanya karibu na nyumbani. Ila kwa sasa natamani tena nitoke nikapange tena nipambane na maisha.
ONYO. Ukiamua kupanga usipende sana kuendekeza ndugu. Watakurudisha sana kimaendeleo.
 
daa umefanya uzembe kama wangu,nikiwa shule nilikua nakaa na manzi tukanunua kila kitu kwa malengo baada ya shule tuanze maisha.

akiba tukiwa na m.1 na laki 6, uoga kitu cha ajabu sana nikaona ntafanya nini nikala kona kurudi home nikamuachia manzi kila kitu. alinililia sana nirudi ila ule uoga haukuwa wa nchi hii

now nimepanga ila najilaumu sana kumkimbia yule manzi kwa uoga wa maisha mji wa watu
huyo manz bdo upo nae
 
Home nimetoka 2013 ni baada ya kujiunga chuo till now bado sija settle kwasababu ya hama hama na kuuza vitu vyangu, currently nipo kigoma nafikilia kutulia saiz
Wakuu mambo vipi,,Leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyo chomoka Nyumbani kwao..Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.

Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani ,mbaya zaid anasubir kazi..alaf kazi zenyew haijulkani utapata lini.

Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home...Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.

Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo...mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani..inakata sana hii

Tukija kwenye maisha ya kujituma tu..sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure,unalala bure,kila kitu bure..hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..

Pia inakata sana..pale wanao unakuta wapo na mageto yao..lakin wewe kwako ni tofauti.

Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza..

##Mimi binafsi geto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo,,,nakumbuka nilipata room ya elf 50 nikaanza nayo kibish,nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6,nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu...geto bila mziki sio geto ni choo,kujichek mfukoni boom likawa lishakata...basi nikaendelea kuishi geto hadi namalza chuo geto likawa limesheheni tu...
sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi hom..ujinga niliofanya ni kurud hom na baadhi ya vitu niliviuza...Kasheshe ndio ipo saiz..wakuu hom akili inalala,,vibe yote hakuna ,hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana..hop ndan ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.

Sasa share kitu basi nawewe..

#Nini lilikusukuma usepe home?
#Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
#Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
#Maisha yalkuaje since day one?
#Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
#ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
#Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?

Karibuni wakuu..

View attachment 878774
 
Back
Top Bottom