Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,258
- 6,694
Kwenye jiko gani?Nunua pan grill uwe unachoma mwenyewe
Kwenye jiko gani?Nunua pan grill uwe unachoma mwenyewe
Jiko lolote mkuu, una moderate moto tu ili usiunguze.Kwenye jiko gani?
Ulianzaje kukaa gheto?Yan 1m unapata tu kitanda, godoro, TV showcase na TV hela inaisha.![]()
😂😂 jamani Warda
Uhuru wa kuzidi nao akili zinatakiwa Sanaa 🤣🤣 wakati nipo home nilikuwa siwaelewi wavuta shisha wakike.ko unamkomaa kwa bimdashi.....
Getto ipo raha bro, hasa ukiwa na harakat zako za kimaisha... Ni full uhuru an.
Kitanda na godoro laki nne inabaki laki sita.....hapo kodi ya pango hujalipa badoYan 1m unapata tu kitanda, godoro, TV showcase na TV hela inaisha.😃
Mtungi mpaka ladha ninavyo njoo nikupeUhuru wa kuzidi nao akili zinatakiwa Sanaa 🤣🤣 wakati nipo home nilikuwa siwaelewi wavuta shisha wakike.
Najishangaa now ni mvutaji pro max 🥺 napambana next year nisithubutu.
Sitaki 🤣🤣🤣Mtungi mpaka ladha ninavyo njoo nikupe
Hongera sana.. ila hapo kwenye NB namimi nakuongezea N:B nyingine "UKIMWI UPO MWAAMWAMWAAA"Nimeanza rasmi kukaa geto wiki mbili nyuma apo sahv nipo nasoma mtandaoni jinsi ya kupika vyakula tofauti tofauti maan mwanzo nilikuwa nakula kwa migahawa ila nmeona kunamaliza tu hela na chakula hakina ladha hivyo juzi mwisho wa mwez nimenunua gas ndogo nmeweka ndani na sufulia na vyombo vidogo kama sahani, vijiko, mwiko n.k vyakula pekee najua kupika ni wali na ugali tu
NB;UKIISHI GETO ALAFU NI BACHELOR NA KUWALA KIMASIKHARA WAPANGAJI WAKIKE NI SUALA GUMU KULIEPUKA![]()
Ulifanikiwa?nimegoogle jinsi ya kupika kuku kama KFC vile nataka nijaribu nione😂😂😂 raha sana.
Hapana mzee aina fmsound bar mkuu ngaapi na zina redio kweli yaani fm
Yes master bonge la moviesHiyo shang chi legend of ten rings
Yan 1m unapata tu kitanda, godoro, TV showcase na TV hela inaisha.![]()

mbona unamtishaYaani weweUhuru wa kuzidi nao akili zinatakiwa Sanaawakati nipo home nilikuwa siwaelewi wavuta shisha wakike.
Najishangaa now ni mvutaji pro maxnapambana next year nisithubutu.

😀😀😀Njoo ujilipue mi siutaki tenaSitaki 🤣🤣🤣
Hebu nidodorishie picha😀😀😀Njoo ujilipue mi siutaki tena
😂😂😂 baki kwa mama tu
Sijui hata bei ya kitandaaYan 1m unapata tu kitanda, godoro, TV showcase na TV hela inaisha.![]()