Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,013
- 2,001
Karibu leo Weekend nipo alone tuu sina campaniNimemiss kuona magheto ya watu jamani![]()
Karibu leo Weekend nipo alone tuu sina campaniNimemiss kuona magheto ya watu jamani![]()
Upo alone, aliyekupiga hiyo picha nani?Karibu leo Weekend nipo alone tuu sina campaniView attachment 1713133




Alipiga picha akaondoka nikabaki alone.


Alipiga picha akaondoka nikabaki alone.![]()


kwa ilo pozi ulilokaa mkuu, bado unataka aje mwingine leo baada ya huyo kuondoka? Mimi tu wa kike ungo sinanawaza nikinunua nauning'iza wapi?! Sioni pakuweka



nomaaalikuja mara moja tu,hakurud tena wala hakutaka tena mazoea..Hauna hata girlfriendangekua anakuja kukusafishia
Pm iwe wazii alafu Utuletee story Kimasihara tuu unaweza kulaa watatu humuKaribu leo Weekend nipo alone tuu sina campaniView attachment 1713133






lini nije kwako beautifulmie tangu nime join chuo, sijawahi ishi hostel.
Nikikuleta kwangu wallah hutoamini, master yenye sebule imesheheni kila unachokijua, hapa nataka kununua jiko la umeme.


Daah! Unalala mapema mno saa 3





Pm iwe wazii alafu Utuletee story Kimasihara tuu unaweza kulaa watatu humu
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app





Ameeen
Si mchezo, lakini hii picha ya kitambo.maisha yameanza kwa staili hii..View attachment 1718843