Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Ahsante, sijawatendea nini 😀Polee , ila Ujatutendea haki
Ahsante, sijawatendea nini 😀Polee , ila Ujatutendea haki
The same to meNamshukuru mungu kwa hilo
Kila mara nakuja kutazama nione kama umeshaitupia ile picha lakini naona bado mkuu.Ameeen
Pasafii,apo ukijilaza dakika tu ushasinzia.Hongers mkuu.
Nakipataje na mm hiko kitbu mkuu
Hako kapicha, mbona kadogo hivoAhsante, sijawatendea nini![]()

Mkuu naona vimekuja ving author ni nan mkuuSearch google tu “The Secret” pdf utapata au ingia hii web http://libgen.is (ila ukisearch uandike na jina la author)
Mkuu naona vimekuja ving author ni nan mkuu
Shukran kiongozi nimekipataRhonda Byrne
Kumbe wwngi mnasubiri lol.Kila mara nakuja kutazama nione kama umeshaitupia ile picha lakini naona bado mkuu.
Show case, kwa juu apo kuna tvHiyo ni meza au ni nini Boss
Show case, kwa juu apo kuna tv
Saint Anne 😋
Karibu sana.😊Saint Anne 😋
Delight 😍
Utakuwa unapenda sana kula kula wewe.
Ah ina rangi kama zile za kitchen cabinetShow case, kwa juu apo kuna tv
After God fear woman. 😀Karibu sana.😊