Ulevi wa mume unaelekea kuniharibia kazi

Hapa umesikiliza maneno ya upande mmoja. Pengine hadithi ni tofauti kabisa kama utasikia maelezo ya mumewe. Na pengine mumewe amegeuka kuwa mlevi kwa sababu yake. Na pengine anakwenda mpaka kazini kutukana kwa sababu kuna mwanamme wake! Haya ni mawazo yangu tu lakini....
Na mimi nawaza hivyo lazima kuna jamaa anamkula sa jamaa keshagundua tatizo sasa hivi hana hela hilo ndo tatizo!!!!
 
Wapendwa habarini,

Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December.

Ninachokipata kazini tunagawana ila ndo hivyo pombe lakini hilo halina shida bora alewe kwa starehe zake lakini swala linakuja ananiharibia hadi kazini kwangu.

Inafika kipindi ananifuata kazini kwangu na kutukana staff wenzangu kitu ambacho naona kitaniharibia kazi muda sio mrefu.

Naomba kama kuna msaada naweza pata mahali ili nilinde kibarua changu maana ndo kinachotuweka mjini. Naombeni msaada wenu na ukizingatia kibarua chenyewe nafanyia kanisani na kanisa na hayo mambo ni tofauti.
Siku zileeeeeee ulileta uzi wako unasema jamaa amesema ili aniowe anataka tugawane mshahara wangu, huku jf watu walikuwambia huyo hakufai achana nae ,

Nadhani uliipuuza ile kauli, leo unakuja kulia lia tena hapa,

Kuna muda unatakiwa ukaze moyo ili kufikia malengo,

Mwambie jamaa yako kwamba kazini wamesema akija tena kutukana hawatamuacha salama na asitumie mgongo wako juu ya hili,

Lkn pia waambie kazini ikitokea jamaa amekuja kutukana hapa fanyeni kama hatumjui mchukulieni hatua za kisheri kukamatwa na kuwekwa polic.

Ukifanya hivi akikamatwa ww usiingilie endelea na mambo yako kama hakijatokea kitu kama marafiki au ndugu wakija kumtoa huko atajua mwenyewe na akirudi nyumbani msikilize atasema nn ,

Ishawai kunitokea mtu kila ukimkanya hasiii anajua utasimama na kumtetea, safali moja akafanya maujinga yake mm nikapandisha kiooo, akalala polic huko alipotoka akabeba vilago vyake akarudi kwako,

Baadae anataka tena arudi mm nishafunga milango yupo ana tanga tanga mpka leo mjinga yule
 
Wapendwa habarini,

Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December.

Ninachokipata kazini tunagawana ila ndo hivyo pombe lakini hilo halina shida bora alewe kwa starehe zake lakini swala linakuja ananiharibia hadi kazini kwangu.

Inafika kipindi ananifuata kazini kwangu na kutukana staff wenzangu kitu ambacho naona kitaniharibia kazi muda sio mrefu.

Naomba kama kuna msaada naweza pata mahali ili nilinde kibarua changu maana ndo kinachotuweka mjini. Naombeni msaada wenu na ukizingatia kibarua chenyewe nafanyia kanisani na kanisa na hayo mambo ni tofauti.
Pole sana.
 
Hapa watakusingizia kuwa unatembea na mchungaji, mme wako kupitia ulevi wake anakuja kuvuruga kazini
 
Msaada upo kwa mganga, kama unaenda ni pm.
Kama huwezi jambo litazua jambo,
Lazima ufanye maaamuzi magumu
 
Wapendwa habarini,

Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December.

Ninachokipata kazini tunagawana ila ndo hivyo pombe lakini hilo halina shida bora alewe kwa starehe zake lakini swala linakuja ananiharibia hadi kazini kwangu.

Inafika kipindi ananifuata kazini kwangu na kutukana staff wenzangu kitu ambacho naona kitaniharibia kazi muda sio mrefu.

Naomba kama kuna msaada naweza pata mahali ili nilinde kibarua changu maana ndo kinachotuweka mjini. Naombeni msaada wenu na ukizingatia kibarua chenyewe nafanyia kanisani na kanisa na hayo mambo ni tofauti.
Naomba tafuta ndimu saba, kilo ya chumvi ya mawe na mizizi ya mkafiri kisha tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa habarini,

Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December.

Ninachokipata kazini tunagawana ila ndo hivyo pombe lakini hilo halina shida bora alewe kwa starehe zake lakini swala linakuja ananiharibia hadi kazini kwangu.

Inafika kipindi ananifuata kazini kwangu na kutukana staff wenzangu kitu ambacho naona kitaniharibia kazi muda sio mrefu.

Naomba kama kuna msaada naweza pata mahali ili nilinde kibarua changu maana ndo kinachotuweka mjini. Naombeni msaada wenu na ukizingatia kibarua chenyewe nafanyia kanisani na kanisa na hayo mambo ni tofauti.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama una 1m kuna dawa ya asili. Lazima aache.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
To be honest pole sana dada .
Mimi pia ni mtu ambaye natumia vilevi. So kwa experience yangu njia rahisi mpe furaha yake ya moyo kama ameamua kuwa pombe ila fanya u make distance nae. Don't give up on him. Muombee pia Mungu atasaidia .🙏
 
Back
Top Bottom