Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,006
wanawake tukishakua tunaingiza vi sh mbili tatu tuna dharau za asili, utajitahidi umbebe kadri uwezavyo lakini utachoka haraka sana inawezekana umeanza kumuonyesha dharau, humthamini na maneno ya kebehi sababu ya kua unamlisha ww kesi za ndoa hazisikilizwi upande mmoja, halaf nikwambie kitu kama mpaka alewe ndio aje afanye fujo hapo unapopaita kibaruan ujue amekunywa kusudi sababu ya huyo mlengwa mbona akiwa macho mkavu haji kuropoka?? nahivo nyie mlolongo wenu wa kuachana ni mrefu ni heri muachane tu kwa uzima wa afya ya akili ya baba wa watu.