mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
anafaidika vipi kwa kuja kudanganya humu?Kua uyaone mkuu.
Hawa viumbe tunawapenda sana lakini wana madhaifu mengi sana.
Kitendo cha kulisha familia hata akikosea anataka ionekane ni sawa tu na asichukuliwe hatua
vigezo gani vinakufanya uone kadanganya?
kisa chake hakiwezi kabisa kua cha kweli?