Ulevi wa mume unaelekea kuniharibia kazi

Badilika wewe, usimfatilie na maulevi yake, fanya kama haukereki na ulevi wake

Akirudi badala kuongea jinsi gani anakukera na ulevi wake mwambie ishu zingine kwa lugha ya upole

Naona ni insecurities ndo zinazomsumbua mumeo, kwanza umesema hana kazi, wewe unahudumia kila kitu basi hiki kinamuuma mmeo,

Jitahidi kutomgusia hali yake pia msaidie kupambana apate mishemishe
 
Hapa umesikiliza maneno ya upande mmoja. Pengine hadithi ni tofauti kabisa kama utasikia maelezo ya mumewe. Na pengine mumewe amegeuka kuwa mlevi kwa sababu yake. Na pengine anakwenda mpaka kazini kutukana kwa sababu kuna mwanamme wake! Haya ni mawazo yangu tu lakini....
Upumbavu na ujinga kutenda kosa kisa Fulani huo ni umama yaani ulewe ucheat kisa mke au mme
 
wanawake tukishakua tunaingiza vi sh mbili tatu tuna dharau za asili, utajitahidi umbebe kadri uwezavyo lakini utachoka haraka sana inawezekana umeanza kumuonyesha dharau, humthamini na maneno ya kebehi sababu ya kua unamlisha ww kesi za ndoa hazisikilizwi upande mmoja, halaf nikwambie kitu kama mpaka alewe ndio aje afanye fujo hapo unapopaita kibaruan ujue amekunywa kusudi sababu ya huyo mlengwa mbona akiwa macho mkavu haji kuropoka?? nahivo nyie mlolongo wenu wa kuachana ni mrefu ni heri muachane tu kwa uzima wa afya ya akili ya baba wa watu.
Utaachana na wangapi kuachana hapajawahi kuwa tiba
 
One sided story, wamama sio wa kuamini sana hasa wakishakuwa bread winners.
Sasa kwanini aje adanganye humu? Tuseme kwa mfano yeye ndo amekosea, anafaidika vipi kuja humu na kuandika uongo? kwamba anajipa moyo au anatafuta mtu wa kukubaliana nae? itamsaidiaje....

Au unataka kusema wanawake hawana mantiki wanaandika wanavyojisikia tu....

Sielewi
 
Badilika wewe, usimfatilie na maulevi yake, fanya kama haukereki na ulevi wake

Akirudi badala kuongea jinsi gani anakukera na ulevi wake mwambie ishu zingine kwa lugha ya upole

Naona ni insecurities ndo zinazomsumbua mumeo, kwanza umesema hana kazi, wewe unahudumia kila kitu basi hiki kinamuuma mmeo,

Jitahidi kutomgusia hali yake pia msaidie kupambana apate mishemishe
Daah mdogo wangu umrkua hadi raha, unashauri kama vile mzoefu wa ndoa na maisha, najivunia wewe
 
Sasa kwanini aje adanganye humu? Tuseme kwa mfano yeye ndo amekosea, anafaidika vipi kuja humu na kuandika uongo? kwamba anajipa moyo au anatafuta mtu wa kukubaliana nae? itamsaidiaje....

Au unataka kusema wanawake hawana mantiki wanaandika wanavyojisikia tu....

Sielewi
Kua uyaone mkuu.
Hawa viumbe tunawapenda sana lakini wana madhaifu mengi sana.

Kitendo cha kulisha familia hata akikosea anataka ionekane ni sawa tu na asichukuliwe hatua
 
wanawake tukishakua tunaingiza vi sh mbili tatu tuna dharau za asili, utajitahidi umbebe kadri uwezavyo lakini utachoka haraka sana inawezekana umeanza kumuonyesha dharau, humthamini na maneno ya kebehi sababu ya kua unamlisha ww kesi za ndoa hazisikilizwi upande mmoja, halaf nikwambie kitu kama mpaka alewe ndio aje afanye fujo hapo unapopaita kibaruan ujue amekunywa kusudi sababu ya huyo mlengwa mbona akiwa macho mkavu haji kuropoka?? nahivo nyie mlolongo wenu wa kuachana ni mrefu ni heri muachane tu kwa uzima wa afya ya akili ya baba wa watu.
Ni mwanamke pekee umeshughulisha akili zaidi katika uzi huu.
Naishia hapa
 
Back
Top Bottom