kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,937
halafu mimi nikajua 100% wanawake mnapendaga hela ila sasa wewe umenipa tena idea tofauti.
hapo ukute unafuatwa na wanaume wenye maisha yao kidogo yanaeleweka na wewe unawakataa na unawambia nina mume 🙌
turudi kwenye mada :
hela za kulewa anapata wapi ?
kama wewe ndio unampa basi acha huo ujinga