Ule utapeli wa kijuha umeanza tena...

Ule utapeli wa kijuha umeanza tena...

Wakikupigia simu kuwa mpole wachore tu
 
Hahahahahhaha
Mazungumzo ya Tapeli Na Mwalimu aliyetaka kuhama kituo Cha kazi.

Tapeli:Hallo,wewe ni Mwalimu Fulani bin Fulani Na unataka kuhama

Mwalimu:Ndiyo nina uhitaji sana wa kuhama huku niliko.

Tapeli:Mimi nipo Tamisemi kuna mtu hapa nipo naye Ana uwezo wa kukusaidia tatizo lako ndani ya muda mfupi

Mwalimu:Nitashukuru sana kama nitafanikiwa.

Tapeli:Ila huyu mheshimiwa anahitaji ya maji kidogo ili aweze kufanya zoezi lako la kukuhamisha.

Mwalimu:Anataka kiasi Gani Na lini?

Tapeli:Anataka kiasi Fulani (Ziatajwa laki kadhaa) Fanya haraka Sasa hivi maana nafasi ni chache Na wahitaji ni wengi.

Mwalimu:Kwa Sasa hivi kupata hela ni ngumu maana hela ipo benki Na muda huu hakuna magari Na kwa bodaboda nauli haitoshi.

Tapeli:Mchukue bodaboda uende naye mjini utamlipa ukifika benki.Ufanye hima Mwalimu

Mwalimu: Oooh umenipa wazo zuri nachukua bodaboda nitamlipa nikifika mjini.(Mwalimu anampanga bodaboda kuwa aseme hawezi mpeleke town Bila kuweka advance ya shilingi elfu kumi,nyingine atamalizia akifika town)

Tapeli:Fanya haraka ukichelewa ofisi zitafungwa Na utakuwa umekosa nafasi

Mwalimu:Nimeongea Na bodaboda amekataa kunipeleka Bila kuweka advance hela ya mafuta labda uongee naye wewe umshawishi anipeleke.

Tapeli anaongea Na bodaboda,bodaboda anagoma kumpeleka mwalimu,Bodaboda anamshauri Tapeli amkopeshe mwalimu hela halafu ye ndo atalipwa Na Mwalimu.Tapeli anaingia kingi anatuma elfu kumi kwa bodaboda.Bodaboda Na Mwalimu wanatoa fasta ile elfu kumi halafu Mwalimu anapiga simu kwa Tapeli.

Mwalimu:Ndugu yangu umeniokoa,nimeshaanza safari ya mjini.

Masaa kadhaa yanapita.

Tapeli:Vipi mmeshafika mbona kimya.

Mwalimu:Mkuu sio kila siku unatapeli tu watu nawe siku moja Moja ukitapeliwa siyo vibaya.

Tapeli🙁Anatukana matusi yote Na anagundua kuwa naye kaliwa)
 
Habali ya leo.mimi MICAEL KUYUNGA.samahani kuna boc wangu yupo serengeti mbuga ya wanyama poli yupo na wageni wake ni wazungu.watalii.wanataka kununua vitu vya kitamaduni kama vinyago vya kuchonga na mti wa mpingo,mabatiki,mashuka ya kimasai na vitu vingine vingi.kaniomba nimtafutie mtu naemjuwa na mwaminifu amsaidie kwenye manunuzi ya hivyo vitu.kama uko tayali nimpatie namba zako akupe maelekezo zaid.mimi naumwa matonses na kifua nimebanwa sauti imenikauka.uwe unanitumia sms kwa mawasiliano zaidi.

Namba iliyotumika ni 0621 375081
Hahaaaaa reg no date 1 Aug
HUYU alikuamulia.MPWAA kanusaa mpunga huko
 
Habali ya leo.mimi MICAEL KUYUNGA.samahani kuna boc wangu yupo serengeti mbuga ya wanyama poli yupo na wageni wake ni wazungu.watalii.wanataka kununua vitu vya kitamaduni kama vinyago vya kuchonga na mti wa mpingo,mabatiki,mashuka ya kimasai na vitu vingine vingi.kaniomba nimtafutie mtu naemjuwa na mwaminifu amsaidie kwenye manunuzi ya hivyo vitu.kama uko tayali nimpatie namba zako akupe maelekezo zaid.mimi naumwa matonses na kifua nimebanwa sauti imenikauka.uwe unanitumia sms kwa mawasiliano zaidi.

Namba iliyotumika ni 0621 375081
Kuna siku nilitumiwa aina hii ya message na mtu wangu wa karibu sana, Na Ni Mtu Anaejiweza Kiuchumi Na Kielimu,
Nikampia simu hakupokea, akadai ana tonses. Nikamwandikia text "Umeanza Lini Utapeli?" Hadi Leo Kanichukia.
Sasa Sijui Kosa Langu Ni Nini?
 
kosa lako ni kumgundua
 
Yeah yani jamaa anatapeli yuko home na familia
Mimi ndio niko home, jamaa alikuwa ananisoundisha eti kuna mradi sijui umefadhiliwa na wakorea yeye yuko tanga eti sijui nikaulizie madawa, akanipa hadi namba nyengine eti za daktari. Mi nikamchora tu huku moyoni namwambia mpumbavu sana
 
Ukitaka kuwapata wajinga,Chomekea neno Mzungu ndani ya utapeli wako.Au Shirikiana nae
 
Mimi ndio niko home, jamaa alikuwa ananisoundisha eti kuna mradi sijui umefadhiliwa na wakorea yeye yuko tanga eti sijui nikaulizie madawa, akanipa hadi namba nyengine eti za daktari. Mi nikamchora tu huku moyoni namwambia mpumbavu sana
Very sad story kuhusu hii ishu ya huu utapeli... Hiyo namba ni ya stuff wetu ofisini kaibiwa simu hivi karibuni na hakujali kwenda polisi kufunga line.... Sasa hii msg wametumiwa karibia watu 15 ofisini na mhusika hapatikani hewani na hajaingia kazini siku 2 sasa
 
Chief! Stuff wenu ofisini maana hata mimi mwanzo walinitumia msg kwa namba ya rafiki yangu, akidai yuko mkoa. Lakini nilishtuka kwani salamu aliyonisalimia sio kawaida ya salam tunayosalimiana mimi nae, ndipo ikanibidi nianze kuwa-actor
sketch-1564841806706.jpeg
 
Atakuwa tapeli mwanafunzi huyo...

Lakini kwa kuwa wajinga awaishi yamkini kati ya watu miamoja wanotumiwa message kama hizo hawakosekani 2 wa kunaswa.
 
Kajibiwa... Sisi tulifanya utapeli kama huu way back 2000+ ni wa kizamani mno... Sema nikufundishe wa kisasa unaotuweka mjini bila bughudha
Si ungemroga tu mkuu,inaonekana hakujui vizuri kwenye idara yako.
 
Back
Top Bottom