Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Nishawahi kupata sms kama hiyo miezi kadhaa nyuma ikabidi nimuhoji vizuri nijue ni Nani maana ni kweli Kuna jamaa yangu ana kituo cha kitamaduni ila namba si zake.Habali ya leo.mimi MICAEL KUYUNGA.samahani kuna boc wangu yupo serengeti mbuga ya wanyama poli yupo na wageni wake ni wazungu.watalii.wanataka kununua vitu vya kitamaduni kama vinyago vya kuchonga na mti wa mpingo,mabatiki,mashuka ya kimasai na vitu vingine vingi.kaniomba nimtafutie mtu naemjuwa na mwaminifu amsaidie kwenye manunuzi ya hivyo vitu.kama uko tayali nimpatie namba zako akupe maelekezo zaid.mimi naumwa matonses na kifua nimebanwa sauti imenikauka.uwe unanitumia sms kwa mawasiliano zaidi.
Namba iliyotumika ni 0621 375081
Nilipoona kimya na mi nikapotezea kiaina ila si kujua kabisa kama ni Yale ya Tuma hela kwa namba hii hadi juzi dogo alipo tumia sms hiyo hiyo Ndio nikastuka
