Mkuu ungesubiri uone hela wanataka kukupigia wapi, najua mwishoni wangekutaka utoe hat kilo moja!!
Huyu wangempiga kweny kulipia risiti ili aonekane yeye ndo muuzaji kwa wale wateja wa sinza
Hapo angecheua hata 500k,
M nilikoswa koswa hapo(alhamdullillah, bahati ckuwa hata na Mia, ila niliingia kingi, but jamaa akajifanya yupo chimbo kinyama, huko aliko hakuna mpesa wala tigo pesa, hivyo nilipe mm, baadae mshiko ukiingia watanilipa hata kwa riba)
Nikanyuti km masaa natafuta wa kumkopa, nilipokosa pa Kukopa laki tano, nikakwambia jamaa nimepata laki nne na 80, nitumie 20000 nijazie ili nikalipie risiti, eti wananambia nitume hiyo hiyo, baada ya mda nikampigiq aliyeniunga, na kumwambia jamaa kakataa, kumbe ndo Hao Hao, basi pale pale wakakata cm na kujua kuwa nimeotea mchezo,
Loh, nilichomoka kimiujiza, na huu Ndo ulikuwa mchezo wangu wa fungulia dimba, mwaka wa kwanza nipo chuo, ushamba umenijaa cjui chochote,
Nawashukuru Hawa mabaharia walinifungua bongo, hadi nikatamani kujiunga na hii movie


Sent using
Jamii Forums mobile app