Ule utapeli wa kijuha umeanza tena...

Ule utapeli wa kijuha umeanza tena...

Nafikiri ukishatapeliwa ndio unakuwa umekabidhiwa rasmi advance diploma ya ujinga.

Na ukienda polisi kushtaki automatically unakuwa umepata degree ya ujinga. ....maana kule unakuwa kituko zaidi cha karne, ... hasa wanapoanza kuuliza km huwa unasoma meseji za polisi? .....in case umepigwa kwa style ya (TUMA HELA KWA NAMBA HII.)

Huu utapeli wa meseji km aliyoletewa Mshana, ni random search ya watu wenye tamaa za kijinga (a deal is always too good to be true.)

Huwezi kutapeliwa km wewe si mjinga , na huna tamaa.
Ni kweli aisee,mara nyingi wanacheza na akili za watu wenye tamaa ya kupiga pesa kwa haraka.
Kwa hyo mtu anaposikia kwamba hyo dili wanahusika na wazungu Basi picha inayomjia ni pesa nje nje.
Na kingine ni kwamba siku zote wajinga hawaishi,mbinu hizo hizo za kizamani Kuna watu wanapigwa.
 
Nhahahahaaa
Huu Utapeli hauwezi kuisha..... Juzi limenipigia lijitu likajitambulisha lipo Morocco makao makuu ya Airtel, nikauliza unasemaje, likaanza kuniuliza "unaitwa nani na upo wapi"nilimuuliza kama wewe ambae upo ofisini na makompyuta yako hunijui mimi hapo unafanya nini? Akakata simu
 
Lazima uwaoneshe kwamba nawe unajua.... Mini mmoja alinipigia akaongea pumba zake alipomaliza nikamuuliza unajua unaongea na nani? Akakaa kimya... Nikamwambia hapa ni mochwari.... Nadhani alikata simu kabla sijamalizia neno chwari....
Kwa hiyo ndugu haukumnyima haki yake ya kuongea ulimwacha aongee mpaka mwisho kisha ndo ukamjibu.
 
Mimi aliniambia anatoka kampuni ya voda! Kuna pesa imetumwa kimakosa hivyo niirudishe. Halafu walivyokuwa hawatumii akili, code namba zao si za huduma za wateja bali ni za wateja. Alivyoona nimemshutukia ananiambia subiri sasa tukufungie line yako halafu akakata simu.
Huyu wa subiri sasa tukufungie line yako keshanipigiaga, nikamwambia kwanza vifurushi vyenu ghali funga tu
 
ile itume kwenye namba hii angekula hela yangu sema kuweka neno 'itume haraka' alikosea

kuna bwana mdg nilitakiwa mtumia hela na nilimwahidi siku iyo mara msg ya itume kwa namba hii iyo hapo ila nikashangaa bwana mdg anasema itume haraka nikakausha kumbe ni bwana tapeli.
 
Ok asante kwa taarifa tutarekebisha
 
Tulitapeliana na huyu binti km binti mpk tkt katuma nikaenda Moscow kula bata,nikajirudia zangu kimyaa mtaani nikakata line,mirska mtoto alikua mtamu balaa Skype kwa kwenda mbele.
Mi nikajua tu katumwa huyu,nikamlamba tkt piga fix kuna project ya pesa mingi nikifika Ferrari nini nafix.
Aah nikapata free safari.
Matusi badae nikayakoga potelea karibu.
 
Hio safi sana mzee fanya kama unamsokota sokota wkt huo lamborghini inaunguruma unguruma na udwanzi kwa sana bila papara huku na kule tindika linakwangaruka na unaithibitisha kwa M-pesa ili wazee waki approach madesa yanakua kwa Lumbert au popote kambi.
 
Umetumia translator gani kama umekoroga koroga maneno mbele nyuma kushoto kulia juu chini nyembamba fupi nyeupe ndogo.
 
Hio safi sana mzee fanya kama unamsokota sokota wkt huo lamborghini inaunguruma unguruma na udwanzi kwa sana bila papara huku na kule tindika linakwangaruka na unaithibitisha kwa M-pesa ili wazee waki approach madesa yanakua kwa Lumbert au popote kambi.
Wajuvi utawatambua tu
 
Mimi aliniambia anatoka kampuni ya voda! Kuna pesa imetumwa kimakosa hivyo niirudishe. Halafu walivyokuwa hawatumii akili, code namba zao si za huduma za wateja bali ni za wateja. Alivyoona nimemshutukia ananiambia subiri sasa tukufungie line yako halafu akakata simu.
Code za huduma kwa wateja zipoje
 
Ha ha ha njaa mbaya sana yule jamaa ambae anasambaza picha za nyuki wakiwa wamejaa kwa MTU au kifaa kilichoibiwa anajiita mzee wa nyuki kumbe nae tapeli tu
Ni hivi juzi kati aliibiwa dogo laptop yake sasa katika pitapita face book na wasap kakuta hizo picha akajaa kumbe mzee wa nyuki kamwambia atume salio na majina matatu dogo salio kakwama ikabidi anistue nikamwambia huyo atakuibia akagoma nikamwambia amwambie huyo mganga amfanyie kwanza akipata kifaa chake ndio tumlipe tukiingia mitini hizo nyuki atume kwetu,,
Mzee nyuki kuambiwa hivo matusi kama yote eti nyuki wangu nawatoa kwa gharama basi toeni hata hela ya kiti basi.
Dogo kapiga kimya kama siku mbili cha ajabu mzee nyuki ye ndio anapiga simu kila Mara kuulizia hela inatumwa au vp, nikamwambia dogo unaona yaan aliyeibiwa amepozi lkn mganga anakomaa kupiga simu kama mpiga debe akitafuta abiria.
 
Huyu wa subiri sasa tukufungie line yako keshanipigiaga, nikamwambia kwanza vifurushi vyenu ghali funga tu
Halafu hawatumii akili. Hili zoezi la kusajili line kwa kitambulisho cha Taifa litawakamatisha vibaya sana. Picha na taarifa zote zipo.
 
Code za huduma kwa wateja zipoje
Huwa zinaanza na country code +255 lakini namba zinazofuata si kama namba za wateja wa mtandao husika. Huwa zinakuwa ni tofauti. Mfano ya Vodacom inaanza na +255(country code) halafu zinakuja namba zao ambayo inakuwa +255 901 767 676.

Sasa kibongo bongo hatuna namba inayoanza na 901 baada ya country code zinazotumiwa na wateja wa huduma wa mitandao ya simu. Ukipigiwa simu halafu ukiambiwa kutoka huduma kwa wateja halafu namba yake ipo kama namba wanazotumia wateja huyo ni tapeli.
 
Back
Top Bottom