Ule upendo wa kweli bado upo?

Ule upendo wa kweli bado upo?

MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....

Kwanini umpende mtu ambaye tayari ni mtu wa mwingine?
Kama ukisoma ile reply yangu niliyo ku-quote utanielewa.

Upendo wa kweli ni kujipenda mwenyewe. Haina sababu ya kulia kilio cha mbwa koko baada ya kuangukia kwenye upendo usio sahihi.
Je kuna kiumbe ambacho kina miaka 28+ kiwe single?,kwa akili ndogo kabisa hili linawezekana? Au ni kuongopeana tu.
 
Unajua mimi hua najiuliza wao ndiyo hawawezi kukupenda kwa moyo wote ni Sawa.

Lakini hua naulize je " Is it necessary for me to ruin my good soul just to fit an ugly society " jibu ni no.

Unajua hua nasemaje ? Maybe the love you're searching for in other people is the love you'll find once you start loving yourself.

Kwahiyo Sister Abigail kila kitu kipo kwenye hii dunia lakini kianze na wewe 😊
 
Umenena vema mkuu,kinaanza na sisi
Tunajipa mema,upendo tutajipa lakini kutafuta Kwa mwenzio ni vibaya?
Lakini Watu wanahitajiana.

Familia Bora zingejengwa vipi?
 
  • Thanks
Reactions: ---
Umenena vema mkuu,kinaanza na sisi
Tunajipa mema,upendo tutajipa lakini kutafuta Kwa mwenzio ni vibaya?
Lakini Watu wanahitajiana.

Familia Bora zingejengwa vipi?
Nkwambie kitu Abigail ? unaamini the process?
Kama unaamini basi amini pia kama wewe unamoyo wa kupenda na moyo mzuri.

Vivyo hivo kunamtu mwingine yupo kama wewe somewhere, a good people will always find you hii napin kama testimony one day utakuja kuirudia tena na kuamini hiki nnacho sema 📌

Unajua kua upendo pia ni mafanikio ? Na kama ni mafanikio basi yanahitaji muda mpaka kukufikia iwe kwa kuchelewa au kuwahi .. 😊😊
 
Nimekuelewa mkuu
Let me trust the process..siku itawadia
 
Sawasawa!ukiwa na upendo wa dhati unawakera unaowapenda,watu wana mambo yao hawataki kugandana
Dada yangu kila kitu inatakiwa kiwe ni "Kiasi ", ukizidisha sana unaharibu na ukipinguza sana unaharibu pia.

Ni kama chumvi kwenye chakula tu na upendo unapaswa uwe hivyo. Lakini wewe mwenyewe jipende zaidi na zaidi na watu wataona tu.
 
Back
Top Bottom