Ule upendo wa kweli bado upo?

No No,kwani unazungumzia upendo wa agape???

Kwakweli nina muda sana kuona,ata mm nautafuta sana,kuna wimbo ameimba jamaa mmoja anaitwa ambwene mwasongwe unaitwa upendo wa kweli nadhani ndicho unazungumzia.
Tuendelee kutafuta mkuu..kama sie tunao tutapata wa kufanana nao
 
Mkuu,
Sasa hivi mtu atakupenda kw vile kuna kitu, una kitu, kipo anachokiona kwako, kikipotea tu na huo anaouita upendo unayeyuka. Watu wanaishi kimkakati sana nyakati hizi.
Huyo Espy_ asikudanganye, hata maana ya upendo tu haijui vizuri.
Nimelia sana😭😭😭
 
Nasikia upo🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…