KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,179
Huo uzi hautowi ushahidi wowote kuunga mkono mada uliyoiweka hapa.Someni huu uzi
Tundu Lissu kwa sasa anaishi katika fikra za watanzania wengi kuliko mtanzania mwingine yoyote yule
Kupitia hapa JamiiForums, niliwahi taja sifa kuu 7 za Tundu Lissu kulingana na mtazamo wangu na moja ya sifa hizo ilkuwa ni uwezo wa Lissu kuona mbali(foresight). Nilimpa sifa zile sio kwa lengo la kumsifia tu au kumjenga kisiasa,bali niliona mapema sifa alizonazo pamoja na uwezo huo alioanao...www.jamiiforums.com
Tulia we mkabilaLakini enzi za utukufu wa kina Basil Mramba,Yona,Mgonja,Kitillya ilikuwaga sawa kabisa kujaza kabila moja siyo?
Mama Samia kuchukua nchi ni swala la katiba usitake kutuaminisha kua alisaidiwa na MabeyoNyinyi hamna hoja.
Ni watu wa matukio tu.
Na hamtokuja kushinda uchaguzi wowote ule wa maana.
Na sasa hivi nyie wote ni CCM.
Mama Samia mpaka 2030. Kama si yeye, basi ni CCM mwingine.
Endeleeni kusindikiza.
Mimi ndo nataka kuwaaminisha hivyo???Mama Samia kuchukua nchi ni swala la katiba sio usitake kutuaminisha kua alisaidiwa na Mabeyo
Namba hazidanganyi.Nimekuelewa vizuri sana. Wewe unachofanya ni upotoshaji kwamba watu walisema hivyo kwa kuangalia nafasi moja tu wakati waliangalia trend za teuzi.Wakati huo Waliangalia TRC, KM Hazina, Waziri Nishati,Waziri Mifugo, RC Dar , NW Ardhi, NW Madini
Ukabila nilisema haukuwepo toka Mabeyo anateuliwa kuwa mkuu wa
Bukumbi ndo wapi?
I appreciate you π.Maeneo yote ya Usagara na Kigongo Ferry wilaya ya Misungwi
Usilete blah blah hapa,wale walikuwa Wapare wakijenga Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla wake. Nakuuliza tu swali moja,nyinyi Kaskazini ndiyo mna haki zaidi kuliko wengine katika hii Nchi?
Mbona wewe mwenyewe unajiweka kwenye kona.
Una maana hao walioko huko kwenu na wakaamua kuwa chama tofauti na chako, bado utawaona sio wa kwenu?
Kaa na ukabila wako, usitake kuueneza kwa wengine.
Usipanic.
Mimi sio wa Kaskazini ila sipendi ubaguzi wa kikabila, kikanda, kidini, kijinsia na kichama.
Hata kama Marais kutoka Kaskazini walifanya hivyo haimaanishi mwingine akifanya hivyo ni sahihi
Mtabadiri sana maneno,lakini sisi tupo tumetulia tu kama kawaida yetu,hatuna tatizo na mtu. Tunawasubiri CDM 2025! Hiki mlichokiasisi hakitawaacha salama. Kupitia utawala wa JPM mmeweza kujifunua uhalisia wenu wa Ubaguzi wa Wazi wazi! Kwa mara nyingine tena narudia kuwakaribisha Kanda ya Ziwa,karibuni
What point?stick to the point
Alipandishwa vyeo haraka haraka bila kuzingatia vigezo mpaka akafikia level kubwa before Mwamnyange Retirement Age. Kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini jeshini. Habari zilipomfikia HAYATI JPM aliwapangua baadhi na kuwatupa kwenye balozi nje ya nchi.Exactly.
Jeshini ndo alikuwa second in command.
Alipostaafu Mwamunyange ndo naye akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi.
Watu wakadai eti hakuwa anastahili. Eti kateuliwa kisa ukabila.
Bullshit.
Hiyo kauli itamgharimu Ridhwan maisha yake yote kisiasa...Halafu kuna kijana mmoja mtoto wa mkubwa akajiapiza mbele ya wananchi kwamba Tz haitakuja kuongozwa na mtu kutoka kaskazini.
Weka timeline ya kupandishwa hivyo vyeo...Alipandishwa vyeo haraka haraka bila kuzingatia vigezo mpaka akafikia level kubwa before Mwamnyange Retirement Age. Kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini jeshini. Habari zilipomfikia HAYATI JPM aliwapangua baadhi na kuwatupa kwenye balozi nje ya nchi.
itamgharimu kwa wachaga ila watanzania wanawajua vizuri nyie.Hiyo kauli itamgharimu Ridhwan maisha yake yote kisiasa.
Akiweza fursa hii ya ubunge atumie kujinufaisha kiuchumi na uwekezaji.