MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,640
- 13,825
Mabeyo alikuwa na afisa mwandamizi jeshini kabla hata ya Magufuli kuwa rais. Kwa nafasi aliyokuwa nayo nina uhakika alikuwa qualified kwenda juu zaidi. Lakini huo sio ushahidi kwamba kabila lake halikuwa na nafasi kwenye uteuzi. Inawezekana alikuwa na vigezo kama wenzake na mzee akaona huyu wa kwetu atanifaa zaidi.
Lakini pia, hata kama "aliteuliwa kwa sababu ya kabila lake", na sasa "kaamua" kuwa mwaminifu kwa Mzanzibari, haifuti uwezekano wa ukabila kwenye uteuzi wake. They are mutually exclusive issues. Na sasa hivi, kila mtu yupo kwenye survival mode, Mama ameshakuwa CIC, loyalty to the former CIC or the tribe will not take you anywhere.
Kwa kifupi, ukabila kwenye uteuzi na uaminifu kwa Rais mpya yanaweza kwenda pamoja bila conflict.