Ule ukabila vipi?

Ule ukabila vipi?

Someni huu uzi

Huo uzi hautowi ushahidi wowote kuunga mkono mada uliyoiweka hapa.

Unashindwa kutofautisha, au ilivyo kawaida yako, unapindisha hoja kukidhi lengo lako.

Mteuzi na mteuliwa ni watu wawili tofauti.

Mteuzi akiwa ni mkabila, sio lazima anayeteuliwa naye awe ni mkabila hivyo hivyo, kuna lipi la kushangaza hapo!
 
Nyinyi hamna hoja.

Ni watu wa matukio tu.

Na hamtokuja kushinda uchaguzi wowote ule wa maana.

Na sasa hivi nyie wote ni CCM.

Mama Samia mpaka 2030. Kama si yeye, basi ni CCM mwingine.

Endeleeni kusindikiza.
Mama Samia kuchukua nchi ni swala la katiba usitake kutuaminisha kua alisaidiwa na Mabeyo
 
Nimekuelewa vizuri sana. Wewe unachofanya ni upotoshaji kwamba watu walisema hivyo kwa kuangalia nafasi moja tu wakati waliangalia trend za teuzi.Wakati huo Waliangalia TRC, KM Hazina, Waziri Nishati,Waziri Mifugo, RC Dar , NW Ardhi, NW Madini
Namba hazidanganyi.

Weka takwimu.

Huko kote ulikokutaja, Wasukuma walikuwa ni asilimia ngapi ya teuzi kulinganisha na makabila mengine?

Haya weka takwimu hapa....
 
Usipanic.
Mimi sio wa Kaskazini ila sipendi ubaguzi wa kikabila, kikanda, kidini, kijinsia na kichama.
Hata kama Marais kutoka Kaskazini walifanya hivyo haimaanishi mwingine akifanya hivyo ni sahihi
Usilete blah blah hapa,wale walikuwa Wapare wakijenga Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla wake. Nakuuliza tu swali moja,nyinyi Kaskazini ndiyo mna haki zaidi kuliko wengine katika hii Nchi?
 
Mbona wewe mwenyewe unajiweka kwenye kona.

Una maana hao walioko huko kwenu na wakaamua kuwa chama tofauti na chako, bado utawaona sio wa kwenu?

Kaa na ukabila wako, usitake kuueneza kwa wengine.

Wasukuma tumesikia dhihaka zenu,tunajua enzi zenu kujazana Wa Kaskazini hasa Kilimajaro kwenye nafasi nyeti ilikuwa sawa,hakuna Msukuma atakuja kuwaeleweni hata kidogo.

Habari ndiyo hiyo,tumewapelekea ujumbe kupitia mapokezi ya Mpendwa wetu JPM,nyie CHADEMA karibuni sana Kanda ya Ziwa,tunawasubiri. Una jingine?
 
Usipanic.
Mimi sio wa Kaskazini ila sipendi ubaguzi wa kikabila, kikanda, kidini, kijinsia na kichama.
Hata kama Marais kutoka Kaskazini walifanya hivyo haimaanishi mwingine akifanya hivyo ni sahihi

Mtabadiri sana maneno,lakini sisi tupo tumetulia tu kama kawaida yetu,hatuna tatizo na mtu. Tunawasubiri CDM 2025! Hiki mlichokiasisi hakitawaacha salama. Kupitia utawala wa JPM mmeweza kujifunua uhalisia wenu wa Ubaguzi wa Wazi wazi! Kwa mara nyingine tena narudia kuwakaribisha Kanda ya Ziwa,karibuni
 
Sio lazima uwapigie kura Chadema wapo ACT, NCCR, UDP na TLP.
Mashinji ni Msukuma, John Mnyika ni Msukuma, Pumbalu mwenyekiti wa BAVICHA ni Msukuma. Zaidi sana kura huwa haziamui chochote hapo bongo, ni geresha tu ya watawala.Hata usipoenda kupiga kura, watashinda tu.Usifikirie kura yako ina umuhimu sana.
Mtabadiri sana maneno,lakini sisi tupo tumetulia tu kama kawaida yetu,hatuna tatizo na mtu. Tunawasubiri CDM 2025! Hiki mlichokiasisi hakitawaacha salama. Kupitia utawala wa JPM mmeweza kujifunua uhalisia wenu wa Ubaguzi wa Wazi wazi! Kwa mara nyingine tena narudia kuwakaribisha Kanda ya Ziwa,karibuni
 
Exactly.

Jeshini ndo alikuwa second in command.

Alipostaafu Mwamunyange ndo naye akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi.

Watu wakadai eti hakuwa anastahili. Eti kateuliwa kisa ukabila.

Bullshit.
Alipandishwa vyeo haraka haraka bila kuzingatia vigezo mpaka akafikia level kubwa before Mwamnyange Retirement Age. Kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini jeshini. Habari zilipomfikia HAYATI JPM aliwapangua baadhi na kuwatupa kwenye balozi nje ya nchi.
 
..Halafu kuna kijana mmoja mtoto wa mkubwa akajiapiza mbele ya wananchi kwamba Tz haitakuja kuongozwa na mtu kutoka kaskazini.
Hiyo kauli itamgharimu Ridhwan maisha yake yote kisiasa.

Akiweza fursa hii ya ubunge atumie kujinufaisha kiuchumi na uwekezaji.
 
Alipandishwa vyeo haraka haraka bila kuzingatia vigezo mpaka akafikia level kubwa before Mwamnyange Retirement Age. Kulikuwa na malalamiko ya chini kwa chini jeshini. Habari zilipomfikia HAYATI JPM aliwapangua baadhi na kuwatupa kwenye balozi nje ya nchi.
Weka timeline ya kupandishwa hivyo vyeo...
 
Nyani bana karibu nyumbani. 😀😀😀😄😃
 
Back
Top Bottom