Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Wana chuki na wivu tu.. na utaona watu wa upande gani walio amua kuto elewaTuliwaambia siku nyingi lakini hawakuelewa!
Wana chuki na wivu tu.. na utaona watu wa upande gani walio amua kuto elewaTuliwaambia siku nyingi lakini hawakuelewa!
Mushi. Nikisema wachaga ndiyo waneneza chuki dhidi ya Wasukuma kwa kua mlizoea kudominate wizara na magu hakuruhusu kabila moja kudominate wizara.Mabeyo ametumia akili siyo usukuma. Kwani kuna aliyesema wasukuma wote hawafai ama ni wakabila? Ana akili. Na yeye kuwa na akili, hakuwapi wasukuma wote akili. Same applies to all tribes.
Chuki tu. Wasukuma ni jamii kubwa ambayo haijawahi kusubiri uteuzi kuendesha maisha yaoWasukuma wote mjini walikua wanatembea vifua mbere kama wamepigwa ngumi mngongoni.
Poa Mabeyo anakarinia kustaaafu akapumzike sina hakika kama ana miaka 2 so kumwingiza kwenye migogoro wakati anataka kupumzika akaona sitaki huu upuuziUsisahau tu, katika kila kikundi kuna muasi. Huyo ni msukuma aliyeamua kuasi kambi baada ya kugundua mkuu wa kambi amekufa na vijakazi wa kambini wanataka kujimilikisha kambi.
Vipi sasa mbona hajawatetea wasukuma washike nchi badala ya samia kama mnavyosema walikuwa wamejipanga kwa hilo?Mabeyo ametumia akili siyo usukuma. Kwani kuna aliyesema wasukuma wote hawafai ama ni wakabila? Ana akili. Na yeye kuwa na akili, hakuwapi wasukuma wote akili. Same applies to all tribes.
Wewe umenielewa vizuri sana!!!Ndudu yangu wala usishangae,kuna watu kwenye Nchi hii walishajiona wao ndiyo walikuwa na haki ya kushika nafasi zote nyeti hapa Nchini,Enzi za kina Basil Mramba,Grey Mgonja,Daniel Yona,Harry Kitilya,Kimei,na wengine wengi kuwa kwa nafasi nyeti ilikuwa ni sawa kabisa. Kosa walivyoshika wengine,mapovu yakawatoka 24/7.
Hakuna teuzi hata moja JPM alifanya wakaisifia,leo hii naona umeamua kuwakumbusha maana ni hawa hawa ndiyo mapovu yaliwatoka haswa Wakati Mabeyo anateuliwa. Uzuri tumekuwepo hapa kitambo tunawajua vizuri sana. Hawakumbuki tena huko nyuma nini walisema kuhusu CDF Mabeyo.
Mwalimu wako kigogo. Ndo kakushika akiri. Kigogo ni syndicate ya wapinga magufuli. Bahati mbaya vita iliwashinda wakaamua iwe dhidi ya wasukuma.
Chaga shida ni kukosa utukufu wao kushika taasisi zote za umma.
Anyway ndiyo imetoka hivyo kurudi tena ni ndoto. Mtalaani Magufuli lifelong
Wewe umenielewa vizuri sana!!!
Exactly.
Jeshini ndo alikuwa second in command.
Alipostaafu Mwamunyange ndo naye akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi.
Watu wakadai eti hakuwa anastahili. Eti kateuliwa kisa ukabila.
Bullshit.
Second in command jeshini sasa hivi anaitwa Yacoub Mohamed. Ni luteni jenerali.Ukweli siku zote hujulikana tu,zamani sikuwa naamini kabisa agenda ya Ukabila,lkn kadri muda ulivyokuwa unakwenda ndiyo nikajua hawa “wenzetu” huwa wanapenda kutumia mabega ya wengine kupanda kufika pale wapatakapo,ikitokea mtu wa caliber ya JPM akashika usukani wa Nchi hii,ndipo rangi zao halisi zikajitokeza,kila mteuliwa akawa ananyanyambuliwa katokea wapi?
Haya JPM ameondoka (RIP) nadhani sasa wamefurahi wanaona ule “utemi” wao waliozoea unarudi kwa kasi.