Ule ukabila vipi?

Ule ukabila vipi?

Sina.

Tuwekee.
Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa tarehe 06 February 2017 na Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli.

Jenerali Venance Mabeyo alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 01 January 1979 na kuhudhuria kozi ya afisa mwanafunzi na kupata kamisheni mwaka 1980 kuwa Luteni Usu.

Jenerali Venance Mabeyo alihudhuria kozi na Elimu ya juu ya kijeshi sehemu mbali mbali ndani na nje ya nchi, baadhi ya nchi hizo ni

1) Kenya Military Academy, Lanet, Nakuru. Kenya,
Under. Lieutenant-General Lazaro Sumbeiywo

1) Nationa Defence College of India, under Lt. Gen. Asit Mistry , Location: Khadakwasla Pune, Maharashtra.

2)Bsc Military science, Intelligence. Kingstone University,
Royal Military College, Ontario, Canada
Under; Lieutenant-General Wayne Eyre, Chief of the Defence Staff

3a) MS Military Science,
US Army War College, Senior Service Faculty,
Carlisle, Pennsylvania

3b)West Point Military Academy, Center for strategic intelligence.

Under : Maj. Gen. Stephen J. Maranian.

Jenerali Venance Mabeyo katika kulitumikia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania alishika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwambata Jeshi nchini Rwanda, Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi , Mkuu wa Tawi la Usalama na Utambuzi na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ.

Jenerali Venance Mabeyo ametunukiwa medali mbalimbali.
 
Haya tuwape nyie kina Mramba,Massawe,Urio,Ndeshiro maana ni watu waadilifu sana,mjenge Kilimanjaro Mlipoishia enzi za
Kina Basil Mramba,mchukue pesa hazina mjenge Moshi iwe kama Manhattan siyo?
We jamaa punguwani sana, Ebu nitajie uwekezaji mkubwa uliofanywa Moshi na hao akina Mramba unaowasema hapa..

Nitajie miradi mitano mikubwa, au taasis kubwa zilizopelekwa Moshi na huyo Mramba unayemzonga zonga hapa..
 
Binafsi ningependa sana nijue, ni kweli kuna watu walijaribu kum sideline Madam President?

Kwamba kuna watu walijaribu kupindua katiba??

JokaKuu

..isingewezekana kwasababu ni jambo ambalo liko wazi kabisa ktk KATIBA.

..inawezekana Mama alikuwa sidelined ktk harakati za kumuokoa na kumkimbiza Bwana Mkubwa Nairobi na India.
 
We utakuwa msukuma...ILA MSUKUMA MWENZAKO MABEYO AMEICHEZA KARATA YAKE VIZURI...PONGEZ KWAKE...ENDELEA KUABUDU JIWE
 
Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa tarehe 06 February 2017 na Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli.

Jenerali Venance Mabeyo alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 01 January 1979 na kuhudhuria kozi ya afisa mwanafunzi na kupata kamisheni mwaka 1980 kuwa Luteni Usu.

Jenerali Venance Mabeyo alihudhuria kozi na Elimu ya juu ya kijeshi sehemu mbali mbali ndani na nje ya nchi, baadhi ya nchi hizo ni

1) Kenya Military Academy, Lanet, Nakuru. Kenya,
Under. Lieutenant-General Lazaro Sumbeiywo

1) Nationa Defence College of India, under Lt. Gen. Asit Mistry , Location: Khadakwasla Pune, Maharashtra.

2)Bsc Military science, Intelligence. Kingstone University,
Royal Military College, Ontario, Canada
Under; Lieutenant-General Wayne Eyre, Chief of the Defence Staff

3a) MS Military Science,
US Army War College, Senior Service Faculty,
Carlisle, Pennsylvania

3b)West Point Military Academy, Center for strategic intelligence.

Under : Maj. Gen. Stephen J. Maranian.

Jenerali Venance Mabeyo katika kulitumikia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania alishika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwambata Jeshi nchini Rwanda, Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi , Mkuu wa Tawi la Usalama na Utambuzi na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ.

Jenerali Venance Mabeyo ametunukiwa medali mbalimbali.

..utendaji wake ktk medani ukoje?

..amewahi kuongoza au kushiriki operesheni yoyote?
 
Kuna viwatu vinalialia sijui vinahisi vitatengwa! Hatuwatengi ila tutawapunguza saana maana mlibebwa kizembe kisa kanda...sasa mjibebe wenyewe mama hana huomuda nchi itakwenda kiusawa
 
Mabeyo ametumia akili siyo usukuma. Kwani kuna aliyesema wasukuma wote hawafai ama ni wakabila? Ana akili. Na yeye kuwa na akili, hakuwapi wasukuma wote akili. Same applies to all tribes.
Hao ndiyo waliosoma wakaelewa maana ya kueleimika
Hao ndiyo waliosoma wakaelewa maana ya kulinda taaluma zao
Hao ndiyo waliosoma wakaelewa maana ya viapo
Hao ndiyo waliosoma wakaelewa maana ya nchi ni ya watanzania wote
Hao ndiyo waliosoma wakaelewa maana na umuhimu wa katiba
 
Back
Top Bottom