Mnyika ni Msukuma?
..Labda Wasukuma mumkatae.
..Lakini John Mnyika aliwahi kusema yeye ni Msukuma wa Misungwi.
Mnyika ni Msukuma?
Mzushi wewe!Mkuu unajua fika mengine si ya kuyajadili ila ndio hivyo, kwanja lilipita kusafisha njia homeboy apite.
Sawa MkuuMzushi wewe!
Hmm okay..Labda Wasukuma mumkatae.
..Lakini John Mnyika aliwahi kusema yeye ni Msukuma wa Misungwi.
Mushi. Nikisema wachaga ndiyo waneneza chuki dhidi ya Wasukuma kwa kua mlizoea kudominate wizara na magu hakuruhusu kabila moja kudominate wizara.
Kwa taarifa yako wakati mnasema Magufuli alipendelea Wasukuma baraza lake la Mawaziri la sasa Mkoa mzima wa Mwanza hakuna waziri hata mmoja.
Pili Mawaziri wasukuma ni wawili tu. NB BITEKO siyo msukuma.
Mkoa wa Simiyu kuna Waiziri mmoja
Mwanza hakuna waziri
Shinyanga hakuna Waziri
Geita Mawaziri 2 na mmoja siyo msukuma.
Taarifa zaidi. Waziri gwajima siyo msukuma jina Gwajima ni la mme.
Kusema Magufuli alikuwa anachukia wachaga siyo uongo. Hili liko wazi na nilipata info kutoka ndani kabisa. Kusema Magufuli alikuwa anapendelea watu wa kanda ya Ziwa kwa uteuzi siyo uongo. Tunaweza kubishana mpaka kesho lakini ndivyo. Imebaki kuwa historia na nia yake ovu imebaki historia.Chuki tu. Wasukuma ni jamii kubwa ambayo haijawahi kusubiri uteuzi kuendesha maisha yao
Naam, na tofauti ni kwamba waliokuwa wanatoa tuhuma hizi ni viongozi wa serikali na chama tawala na hivyo propaganda hizo zilitumika kuzichafua na kukandamiza sauti zao. Wahenga wanasema...give a dog a bad name and then hang him!..hawakushindwa hoja, bali walichafuliwa kwa propaganda.
..chama chao kilipakaziwa kuwa ni mali ya Wachaga, wakati huohuo waTz walishafundishwa kwamba Wachaga ni watu wabaya.
..Kuna kipindi mtu mkubwa serikalini alitoa hotuba kuwaambia wananchi, " msiuze ardhi yenu kwa wachaga."
..Halafu kuna kijana mmoja mtoto wa mkubwa akajiapiza mbele ya wananchi kwamba Tz haitakuja kuongozwa na mtu kutoka kaskazini.
Nimekuelewa vizuri sana. Wewe unachofanya ni upotoshaji kwamba watu walisema hivyo kwa kuangalia nafasi moja tu wakati waliangalia trend za teuzi.Wakati huo Waliangalia TRC, KM Hazina, Waziri Nishati,Waziri Mifugo, RC Dar , NW Ardhi, NW Madini
Kwanza unafahamu Mkapa na JK hawakuwa wachaga? Unafahamu Yona na Mgonja ni Wapare? Halafu unafahamu hapo unazungumzia Marais wawili(miaka 20 na sio 5)?
Mwisho ukabila ni pale mtu wa kabila moja anopofanya uteuzi mwingi kutoka kabila lake, sasa kwa hao ukabila unatoka wapi?
Kusema Magufuli alikuwa anachukia wachaga siyo uongo. Hili liko wazi na nilipata info kutoka ndani kabisa. Kusema Magufuli alikuwa anapendelea watu wa kanda ya Ziwa kwa uteuzi siyo uongo. Tunaweza kubishana mpaka kesho lakini ndivyo. Imebaki kuwa historia na nia yake ovu imebaki historia.
Wakina nani? Unaota? Uliona wapi nanyoosha mikona kwa CDF? Umenifananisha weweMbona leo mnanyoosha mikono kwa CDF Mabeyo,au yeye hakuteuliwa na JPM,au mnatamani na yeye mmpachike jina la Massawe?
Ninakubaliana na hili pekee katika yote uliyoandika hapa.Truth is stranger than fiction.
Hujaelewa nini?
Kwao BukumbiMnyika ni Msukuma?
Bukumbi ndo wapi?Kwao Bukumbi
Nyinyi hamna hoja.Usituletee ukabila na ukanda hizi ni zama zingine