Wafuasi wa lisu ni wafanyakazi, wakulima na wanafunzi, vijana wasio na ajira, ndugu na jamaa wa waliotekwa na kuteswa na utawala wa awamu ya tano. Full stopHapana, wengi wametumwa na mafisadi kutikisa kiberiti kwa CCM. Siasa mchezo wa hovyo Sana.

Wagombea wa CCM baadhi yao ni wapuuzi kweli, bila rushwa hawaamini ktk haki. Sasa wanahahaUjinga wa kiwango cha lami!
Naona kaamka kabla ndoto haijaishaNenda kaote tena ndugu yangu.
Najua Watanzania wengi wagumu kuelewa.Naona kaamka kabla ndoto haijaisha