Ukweli wa kifo cha Deo Filikunjombe

Ukweli wa kifo cha Deo Filikunjombe

Kwanza nasikia Ndege ilipopata ajali alifanikiwa kuruka kumbuka alikuwa polisi kabla ya kuinhia kwenye siasa.Na mwili wake eti ulikutwa kama mita kumi umeungua kutoka ndege ilipokuwa.Nazo zilisemwa semwa!

Hivi Kumbe Helicopter au Chopper Kumbe Ni NDEGE? Kumbe DEO Alifariki Na Ajali Ya NDEGE? Nilikuwa Sijui Mkuu.
 
9
Kwanza nasikia Ndege ilipopata ajali alifanikiwa kuruka kumbuka alikuwa polisi kabla ya kuinhia kwenye siasa.Na mwili wake eti ulikutwa kama mita kumi umeungua kutoka ndege ilipokuwa.Nazo zilisemwa semwa!

Nani alimuona akiduka wakati ndege yenyewe ili Potea
 
Last edited:
Hili ni jambo ambalo halijawahi kuacha kunizunguka kichwani nikiwaza nini hasa kilitokea kwa kijana mwenzetu Deo Filikunjombe.

Huyu kijana pasipo watu kuangalia vyama vyao walimpenda na kumwona ni kijana ambaye alikuwa ni mzuri kwenye matendo sana kuliko kwenye maneno ya kinafiki kama wanasiasa wetu wengi waliopo sasa.

Mh Deo Filikunjombe alikuwa akiifanya siasa kwa matendo chanya katika Jimbo na Hatimaye Taifa. alisimamia alichoamini kwa matendo na imani kubwa. Na katika hili hakuangalia chama. aliangalia watu wake.

Ni wazi kuwa alionekana tishio kwa wanasiasa wengi vijana waliopo ndani ya chama chake.
Je ni kweli leo hii taumkumbuki tena Deo ? ni kweli amepita kama kivuli? hatujaweza kuhoji hasa mazingira ya kifo cake na kauli zilizowah kutolewa haraka baada tu ya kifo chake?

Watanzania tunawezaje kuwazungumzia watu wa hovyo hovyo walio kwenye system hivi sasa tukasahau vijana mahiri kama Deo? hakuwa na tamaa ya haraka kama waliyo nayo vijana wengi waliopo kwenye siasa hivi sasa ambao wamekuwa wakitudhalilisha sana kwa maamuzi na kauli zao za hovyo kiasi kwamba tunajuta kuwa na viongozi wa namna hiyo wenye nembo ya ujana.

Wakati mwingne tunawavumilia na kutetea ujinga na upuuzi wao kwa kisingizio cha chama lakini kiuhalisia ni matatizo katika Taifa hili.

Ni nani alihusika na kifo cha Deo? je kilikuwa cha kawaida au watu wametaka tuamini kuwa ni cha kawaida? kuna hadhithi nyingne zimekuwa zikisemwa lakini moja wapo ni kuwa kifo chake kinahusishwa na kijana mwenzie aliye ndani ya chama hasa baada ya kuona kuwa Deo anaonekana kuwa na nguvu na kupendwa na watanzania wengi kuliko huyo kijana ambaye uwezo wake ni mdogo isipokuwa amekuwa akibebwa.

Yamesemwa mengi lakini je ndo tuseme Deo amepita kama kivuli? hizi ni mbegu ambazo zilipaswa zipaliliwe na pia ziwekewe mbole vizuri kuikuza nchi yetu na hata zinapokufa zisiwe bure bali iwe ni nafasi nzuri ya kuzaa zaidi na zaidi. wamebaki vijana mafisadi, wanafiki,wenye kujijali wao zaidi, wenye kujipenda wao zaidi kuliko Taifa, wasio na uwezo mzuri kwa kuongoza na kunena maneno ya hekima.

Mimi na wewe tunaweza kujua kama tukiamua aliyesababisha kifo cha Mh Deo filikunjombe. tusinyamaze leo yeye kesho wewe..na unaponyamaza kimya kwa mwenzio mwishoni hata wewe hutapata wa kukupazia sauti .
Naamini Deo angekuwa waziri katika serikali ya Magufuli hilo sina wasiwasi nalo ,lakini pia Mungu ana mipango yake RIP Deo
 
Umejaribu
 
Kuna taarifa nilizipata pahala kuwa Mzee machache anahusika kwa namna flan na kifo cha ndg yetu filikunjombe. Mzee machache aliingia mkataba na filikunjombe akasimamia hadi show ya shule yake kule Uganda kwa makubaliano maalum lakn baada ya kumaliza masomo filikunjombe akamtosa Mzee machache na hii ilikuja baada ya filikunjombe kupata shavu zaidi sehemu nyingine huku Mzee machache akimbania kuondoka na kumtaka atimize masharti ya mkataba but deo alilazimisha kuondoka na zaidi akamwambia kama ni pesa zako ulizonisomeshea niko tayari kukurudishia. Kitendo hicho kilimkwaza sana Mzee machache na akaahidi kumshughulikia.
 
Yule kijana anaebebwa hata kule jimboni kwake hawampendi, na mwaka huu walihakikisha hawamchagui lakini maajabu ya dunia alishinda kwa kura nyingi kuliko idadi ya wapiga kura.

Waliokuwa wanagombea naye hawakufungua kesi mahakamani? Hilo eneo ukishakuwa na pesa unaabudiwa kama mfalme.
 
Ajali ya deo ilikuwa ya kupangwa na narudia tena deo filikunjombe was assasinated.Alijiamini kupita kiasi bila kujua wabaya wake waliwekeza sana kumtafuta.

Ulale kwa amani deo ulikuwa na moyo wa pekee katika kujitoa kwa wengine.Naamini umepumzika sehemu salama sana.

Kwanini Tumsimuite Mohamed Ali wa Jicho Pevu aandae Jaramandia la uuaji mtawalia Deo na Silaa.
 
kinyesi.
no wonder you are chizi.

Hili ni jambo ambalo halijawahi kuacha kunizunguka kichwani nikiwaza nini hasa kilitokea kwa kijana mwenzetu Deo Filikunjombe.

Huyu kijana pasipo watu kuangalia vyama vyao walimpenda na kumwona ni kijana ambaye alikuwa ni mzuri kwenye matendo sana kuliko kwenye maneno ya kinafiki kama wanasiasa wetu wengi waliopo sasa.

Mh Deo Filikunjombe alikuwa akiifanya siasa kwa matendo chanya katika Jimbo na Hatimaye Taifa. alisimamia alichoamini kwa matendo na imani kubwa. Na katika hili hakuangalia chama. aliangalia watu wake.

Ni wazi kuwa alionekana tishio kwa wanasiasa wengi vijana waliopo ndani ya chama chake.
Je ni kweli leo hii taumkumbuki tena Deo ? ni kweli amepita kama kivuli? hatujaweza kuhoji hasa mazingira ya kifo cake na kauli zilizowah kutolewa haraka baada tu ya kifo chake?

Watanzania tunawezaje kuwazungumzia watu wa hovyo hovyo walio kwenye system hivi sasa tukasahau vijana mahiri kama Deo? hakuwa na tamaa ya haraka kama waliyo nayo vijana wengi waliopo kwenye siasa hivi sasa ambao wamekuwa wakitudhalilisha sana kwa maamuzi na kauli zao za hovyo kiasi kwamba tunajuta kuwa na viongozi wa namna hiyo wenye nembo ya ujana.

Wakati mwingne tunawavumilia na kutetea ujinga na upuuzi wao kwa kisingizio cha chama lakini kiuhalisia ni matatizo katika Taifa hili.

Ni nani alihusika na kifo cha Deo? je kilikuwa cha kawaida au watu wametaka tuamini kuwa ni cha kawaida? kuna hadhithi nyingne zimekuwa zikisemwa lakini moja wapo ni kuwa kifo chake kinahusishwa na kijana mwenzie aliye ndani ya chama hasa baada ya kuona kuwa Deo anaonekana kuwa na nguvu na kupendwa na watanzania wengi kuliko huyo kijana ambaye uwezo wake ni mdogo isipokuwa amekuwa akibebwa.

Yamesemwa mengi lakini je ndo tuseme Deo amepita kama kivuli? hizi ni mbegu ambazo zilipaswa zipaliliwe na pia ziwekewe mbole vizuri kuikuza nchi yetu na hata zinapokufa zisiwe bure bali iwe ni nafasi nzuri ya kuzaa zaidi na zaidi. wamebaki vijana mafisadi, wanafiki,wenye kujijali wao zaidi, wenye kujipenda wao zaidi kuliko Taifa, wasio na uwezo mzuri kwa kuongoza na kunena maneno ya hekima.

Mimi na wewe tunaweza kujua kama tukiamua aliyesababisha kifo cha Mh Deo filikunjombe. tusinyamaze leo yeye kesho wewe..na unaponyamaza kimya kwa mwenzio mwishoni hata wewe hutapata wa kukupazia sauti .
 
Yule kijana anaebebwa hata kule jimboni kwake hawampendi, na mwaka huu walihakikisha hawamchagui lakini maajabu ya dunia alishinda kwa kura nyingi kuliko idadi ya wapiga kura.
Ningependa kukuwekea "Like" saba hivi.
 
Kwangu kindi Cha mwezi wa kumi na mwezi wa kumi mmoja mwaka huu walifariki vijana wapiganaji wa ukweli wasio na chembe ya unafiki hata kidogo ,hakika Vifo Vya Deo filikunjombe na Alfonce Mawazo ni Vifo vilivyo igusa sana nafsi yangu na wapenda maendeleo wengi hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom