Ukweli wa kifo cha Deo Filikunjombe

Ukweli wa kifo cha Deo Filikunjombe

Kiukweli kbsa najua JF sio mahala pa habari nyepesinyepesi,ila uvumi ilikuepo ni kua wkti captain William slaa alipotaka kurusha Ndege,comms zote zilikatwa na Lugalo barracks kwa hyo hakueza kua na mawasiliano na watu wa mMlaka ya anga,,,kiukweli vlevle nmesikia kifo chake kilihusishwa na Siasa na nackia kwenye copter alibeba 10 bil alizopewa na team lowassa kwenda kuiangamiza ccm nyanda za juu kusini,,,,Huu ni uvumi niliosikia,,kuhusu ukweli siujui

10 billion kwenye chopa???????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unasema kijana mmoja ndani ya chama anayebebwa ila hana uwezo una maanisha nini? Si useme tu hata ikiwa na mwanzo wa mwaka na mawaya yake ya katani sema tu.

Unataka kusema Decemba kwa kuwa imefungwa kamba za kuvutia mwaka mwingine!
 
MUANZISHA UZI UMESKIA YULE BINTI ALIYEKAMATWA KWA UCHOCHEZ HUKO IRINGA KAA MKAO WA KUELEKEA SEGEREA TEHETEHE:angry:

Kwanza nasikia Ndege ilipopata ajali alifanikiwa kuruka kumbuka alikuwa polisi kabla ya kuinhia kwenye siasa.Na mwili wake eti ulikutwa kama mita kumi umeungua kutoka ndege ilipokuwa.Nazo zilisemwa semwa!
 
Kwanza nasikia Ndege ilipopata ajali alifanikiwa kuruka kumbuka alikuwa polisi kabla ya kuinhia kwenye siasa.Na mwili wake eti ulikutwa kama mita kumi umeungua kutoka ndege ilipokuwa.Nazo zilisemwa semwa!

Aliruka!!!???
 
Labda ilipigwa bomu huko angani na huyo mwenzake kweli. Sasa hapa JF tutajuaje?
 
Hili ni jambo ambalo halijawahi kuacha kunizunguka kichwani nikiwaza nini hasa kilitokea kwa kijana mwenzetu Deo Filikunjombe.

Huyu kijana pasipo watu kuangalia vyama vyao walimpenda na kumwona ni kijana ambaye alikuwa ni mzuri kwenye matendo sana kuliko kwenye maneno ya kinafiki kama wanasiasa wetu wengi waliopo sasa.

Mh Deo Filikunjombe alikuwa akiifanya siasa kwa matendo chanya katika Jimbo na Hatimaye Taifa. alisimamia alichoamini kwa matendo na imani kubwa. Na katika hili hakuangalia chama. aliangalia watu wake.

Ni wazi kuwa alionekana tishio kwa wanasiasa wengi vijana waliopo ndani ya chama chake.
Je ni kweli leo hii taumkumbuki tena Deo ? ni kweli amepita kama kivuli? hatujaweza kuhoji hasa mazingira ya kifo cake na kauli zilizowah kutolewa haraka baada tu ya kifo chake?

Watanzania tunawezaje kuwazungumzia watu wa hovyo hovyo walio kwenye system hivi sasa tukasahau vijana mahiri kama Deo? hakuwa na tamaa ya haraka kama waliyo nayo vijana wengi waliopo kwenye siasa hivi sasa ambao wamekuwa wakitudhalilisha sana kwa maamuzi na kauli zao za hovyo kiasi kwamba tunajuta kuwa na viongozi wa namna hiyo wenye nembo ya ujana.

Wakati mwingne tunawavumilia na kutetea ujinga na upuuzi wao kwa kisingizio cha chama lakini kiuhalisia ni matatizo katika Taifa hili.

Ni nani alihusika na kifo cha Deo? je kilikuwa cha kawaida au watu wametaka tuamini kuwa ni cha kawaida? kuna hadhithi nyingne zimekuwa zikisemwa lakini moja wapo ni kuwa kifo chake kinahusishwa na kijana mwenzie aliye ndani ya chama hasa baada ya kuona kuwa Deo anaonekana kuwa na nguvu na kupendwa na watanzania wengi kuliko huyo kijana ambaye uwezo wake ni mdogo isipokuwa amekuwa akibebwa.

Yamesemwa mengi lakini je ndo tuseme Deo amepita kama kivuli? hizi ni mbegu ambazo zilipaswa zipaliliwe na pia ziwekewe mbole vizuri kuikuza nchi yetu na hata zinapokufa zisiwe bure bali iwe ni nafasi nzuri ya kuzaa zaidi na zaidi. wamebaki vijana mafisadi, wanafiki,wenye kujijali wao zaidi, wenye kujipenda wao zaidi kuliko Taifa, wasio na uwezo mzuri kwa kuongoza na kunena maneno ya hekima.

Mimi na wewe tunaweza kujua kama tukiamua aliyesababisha kifo cha Mh Deo filikunjombe. tusinyamaze leo yeye kesho wewe..na unaponyamaza kimya kwa mwenzio mwishoni hata wewe hutapata wa kukupazia sauti .
Mpuuzi mkubwa we, peleka speculation uchwara hizo ufipa.
 
Siasa za Tanzania bwana zitahitaji moyo sana
 
Vipi kura za maoni shingongo kapita au hukuko kwenye mtandao?
 
Deo lives in my thoughts..it will take time
 
Deo Deo Deo. ..😣😣😣

I can only say that I would have celebrated his presence in JPM cabinet. Waziri asiye na hila wala makandokando.
I can just wish.
Kama ambavyo waKenya wasio Wakikuyu wanatamani Josephat Saitoti angekuwa hai 😥😥😥
 
February maropes ni nani ili ahojiwe?
 
Najua Deo hakujifia , ni genge la Chizi Maarifa waliiroga elkopta ikajibindua na kuua mpendwa wetu
 
February maropes aulizwe vizuri

Shikamoo February Marope

Dogo nanja ndio first suspect


Kiukweli kbsa najua JF sio mahala pa habari nyepesinyepesi,ila uvumi ilikuepo ni kua wkti captain William slaa alipotaka kurusha Ndege,comms zote zilikatwa na Lugalo barracks kwa hyo hakueza kua na mawasiliano na watu wa mMlaka ya anga,,,kiukweli vlevle nmesikia kifo chake kilihusishwa na Siasa na nackia kwenye copter alibeba 10 bil alizopewa na team lowassa kwenda kuiangamiza ccm nyanda za juu kusini,,,,Huu ni uvumi niliosikia,,kuhusu ukweli siujui

Unasema kijana mmoja ndani ya chama anayebebwa ila hana uwezo una maanisha nini? Si useme tu hata ikiwa na mwanzo wa mwaka na mawaya yake ya katani sema tu.

Na vifo vya hawa?

1,kombani,(matusi ya kumuita jamaa mgojwa ni kweli?)

2,mtikila ( fununu ushaidi na kufungua kesi kwa jamaa?)
Vipi hapo

Kijana anayebebwa=Deo + Muhammed mtoi

Yule kijana anaebebwa hata kule jimboni kwake hawampendi, na mwaka huu walihakikisha hawamchagui lakini maajabu ya dunia alishinda kwa kura nyingi kuliko idadi ya wapiga kura.
 
Mkuu usitusumbue na mada za kufikirisha hatuwezi na hatutaki!!! Huoni mada za taarifa za misiba mfano, dadake fulani amefariki hapo post za pole 300 na viewers 22,000!!! Lakini mada kama yako......! Nania anataka kujua nani kafa kwa ajili ya nini, sisi tunataka kutoa pole tu!!
 
Back
Top Bottom