Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Dogo Jembe huyohuyo
Ajali ya deo ilikuwa ya kupangwa na narudia tena deo filikunjombe was assasinated.Alijiamini kupita kiasi bila kujua wabaya wake waliwekeza sana kumtafuta.
Ulale kwa amani deo ulikuwa na moyo wa pekee katika kujitoa kwa wengine.Naamini umepumzika sehemu salama sana.

Kusema Kweli, Umepiga Blah Blah Nyingi Kuliko Material. Nashauri Ui-edit Post Yako Manake!
Ni nani alihusika na kifo cha Deo? je kilikuwa cha kawaida au watu wametaka tuamini kuwa ni cha kawaida? kuna hadhithi nyingne zimekuwa zikisemwa lakini moja wapo ni kuwa kifo chake kinahusishwa na kijana mwenzie aliye ndani ya chama..
Hili ni jambo ambalo halijawahi kuacha kunizunguka kichwani nikiwaza nini hasa kilitokea kwa kijana mwenzetu Deo Filikunjombe.
Huyu kijana pasipo watu kuangalia vyama vyao walimpenda na kumwona ni kijana ambaye alikuwa ni mzuri kwenye matendo sana kuliko kwenye maneno ya kinafiki kama wanasiasa wetu wengi waliopo sasa.
Mh Deo Filikunjombe alikuwa akiifanya siasa kwa matendo chanya katika Jimbo na Hatimaye Taifa. alisimamia alichoamini kwa matendo na imani kubwa. Na katika hili hakuangalia chama. aliangalia watu wake.
Ni wazi kuwa alionekana tishio kwa wanasiasa wengi vijana waliopo ndani ya chama chake.
Je ni kweli leo hii taumkumbuki tena Deo ? ni kweli amepita kama kivuli? hatujaweza kuhoji hasa mazingira ya kifo cake na kauli zilizowah kutolewa haraka baada tu ya kifo chake?
Watanzania tunawezaje kuwazungumzia watu wa hovyo hovyo walio kwenye system hivi sasa tukasahau vijana mahiri kama Deo? hakuwa na tamaa ya haraka kama waliyo nayo vijana wengi waliopo kwenye siasa hivi sasa ambao wamekuwa wakitudhalilisha sana kwa maamuzi na kauli zao za hovyo kiasi kwamba tunajuta kuwa na viongozi wa namna hiyo wenye nembo ya ujana.
Wakati mwingne tunawavumilia na kutetea ujinga na upuuzi wao kwa kisingizio cha chama lakini kiuhalisia ni matatizo katika Taifa hili.
Ni nani alihusika na kifo cha Deo? je kilikuwa cha kawaida au watu wametaka tuamini kuwa ni cha kawaida? kuna hadhithi nyingne zimekuwa zikisemwa lakini moja wapo ni kuwa kifo chake kinahusishwa na kijana mwenzie aliye ndani ya chama hasa baada ya kuona kuwa Deo anaonekana kuwa na nguvu na kupendwa na watanzania wengi kuliko huyo kijana ambaye uwezo wake ni mdogo isipokuwa amekuwa akibebwa.
Yamesemwa mengi lakini je ndo tuseme Deo amepita kama kivuli? hizi ni mbegu ambazo zilipaswa zipaliliwe na pia ziwekewe mbole vizuri kuikuza nchi yetu na hata zinapokufa zisiwe bure bali iwe ni nafasi nzuri ya kuzaa zaidi na zaidi. wamebaki vijana mafisadi, wanafiki,wenye kujijali wao zaidi, wenye kujipenda wao zaidi kuliko Taifa, wasio na uwezo mzuri kwa kuongoza na kunena maneno ya hekima.
Mimi na wewe tunaweza kujua kama tukiamua aliyesababisha kifo cha Mh Deo filikunjombe. tusinyamaze leo yeye kesho wewe..na unaponyamaza kimya kwa mwenzio mwishoni hata wewe hutapata wa kukupazia sauti .
Hili ni jambo ambalo halijawahi kuacha kunizunguka kichwani nikiwaza nini hasa kilitokea kwa kijana mwenzetu Deo Filikunjombe.
Huyu kijana pasipo watu kuangalia vyama vyao walimpenda na kumwona ni kijana ambaye alikuwa ni mzuri kwenye matendo sana kuliko kwenye maneno ya kinafiki kama wanasiasa wetu wengi waliopo sasa.
Mh Deo Filikunjombe alikuwa akiifanya siasa kwa matendo chanya katika Jimbo na Hatimaye Taifa. alisimamia alichoamini kwa matendo na imani kubwa. Na katika hili hakuangalia chama. aliangalia watu wake.
Ni wazi kuwa alionekana tishio kwa wanasiasa wengi vijana waliopo ndani ya chama chake.
Je ni kweli leo hii taumkumbuki tena Deo ? ni kweli amepita kama kivuli? hatujaweza kuhoji hasa mazingira ya kifo cake na kauli zilizowah kutolewa haraka baada tu ya kifo chake?
Watanzania tunawezaje kuwazungumzia watu wa hovyo hovyo walio kwenye system hivi sasa tukasahau vijana mahiri kama Deo? hakuwa na tamaa ya haraka kama waliyo nayo vijana wengi waliopo kwenye siasa hivi sasa ambao wamekuwa wakitudhalilisha sana kwa maamuzi na kauli zao za hovyo kiasi kwamba tunajuta kuwa na viongozi wa namna hiyo wenye nembo ya ujana.
Wakati mwingne tunawavumilia na kutetea ujinga na upuuzi wao kwa kisingizio cha chama lakini kiuhalisia ni matatizo katika Taifa hili.
Ni nani alihusika na kifo cha Deo? je kilikuwa cha kawaida au watu wametaka tuamini kuwa ni cha kawaida? kuna hadhithi nyingne zimekuwa zikisemwa lakini moja wapo ni kuwa kifo chake kinahusishwa na kijana mwenzie aliye ndani ya chama hasa baada ya kuona kuwa Deo anaonekana kuwa na nguvu na kupendwa na watanzania wengi kuliko huyo kijana ambaye uwezo wake ni mdogo isipokuwa amekuwa akibebwa.
Yamesemwa mengi lakini je ndo tuseme Deo amepita kama kivuli? hizi ni mbegu ambazo zilipaswa zipaliliwe na pia ziwekewe mbole vizuri kuikuza nchi yetu na hata zinapokufa zisiwe bure bali iwe ni nafasi nzuri ya kuzaa zaidi na zaidi. wamebaki vijana mafisadi, wanafiki,wenye kujijali wao zaidi, wenye kujipenda wao zaidi kuliko Taifa, wasio na uwezo mzuri kwa kuongoza na kunena maneno ya hekima.
Mimi na wewe tunaweza kujua kama tukiamua aliyesababisha kifo cha Mh Deo filikunjombe. tusinyamaze leo yeye kesho wewe..na unaponyamaza kimya kwa mwenzio mwishoni hata wewe hutapata wa kukupazia sauti .
Ajali ya deo ilikuwa ya kupangwa na narudia tena deo filikunjombe was assasinated.Alijiamini kupita kiasi bila kujua wabaya wake waliwekeza sana kumtafuta.
Ulale kwa amani deo ulikuwa na moyo wa pekee katika kujitoa kwa wengine.Naamini umepumzika sehemu salama sana.
Kabla ya kurusha alishajua hakuna mawasiliano halafu akaendelea na safari....!!? Wewe unataka kuchomoa baadhi ya watu kwenye tuhuma, si bure.Kiukweli kbsa najua JF sio mahala pa habari nyepesinyepesi,ila uvumi ilikuepo ni kua wkti captain William slaa alipotaka kurusha Ndege,comms zote zilikatwa na Lugalo barracks kwa hyo hakueza kua na mawasiliano na watu wa mMlaka ya anga,,,kiukweli vlevle nmesikia kifo chake kilihusishwa na Siasa na nackia kwenye copter alibeba 10 bil alizopewa na team lowassa kwenda kuiangamiza ccm nyanda za juu kusini,,,,Huu ni uvumi niliosikia,,kuhusu ukweli siujui
Ngoja nikasikilize MREMA ya DR. RemmyUnasema kijana mmoja ndani ya chama anayebebwa ila hana uwezo una maanisha nini? Si useme tu hata ikiwa na mwanzo wa mwaka na mawaya yake ya katani sema tu.