Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA

Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA

Chadema ni chama cha watu flani wenye nia flani na malengo flani. Ni chama hatari kwa mustakabali wa nchi yangu ya Tanzania.

while Ccm is a party of Nobody, from nowhere with no target! Nadhani hii ndio hatari kwa taifa!
 
unaonekana kabisa una guilty conscious. Kilichokufanya mwanaume mzima kuja kuongea umbeya kama yule mzazi wenu muongo kule handeni ni kipi?! Unawaabisha sana watu Monga kwa tabia zako za ajabu ajabu.

Wazee wa sembe rudini kwenye mada tupige facts na hoja sasa kama muda wa kubeba box umeshaisha. HANDENI HAKUNA MAJI MIAKA 52 sasa mtaacha lini siasa za ulaghai?!
Kamanda Mtoi mguu wako uweke hapo hapo. Hawa wauza sembe umewaumbua peupe na uchawi wao! Go Mtoi, go CHAMDEMA!
 
unaonekana kabisa una guilty conscious. Kilichokufanya mwanaume mzima kuja kuongea umbeya kama yule mzazi wenu muongo kule handeni ni kipi?! Unawaabisha sana watu Monga kwa tabia zako za ajabu ajabu.

Wazee wa sembe rudini kwenye mada tupige facts na hoja sasa kama muda wa kubeba box umeshaisha. HANDENI HAKUNA MAJI MIAKA 52 sasa mtaacha lini siasa za ulaghai?!

Mjununi wewe mbona unataka kuwa muongo ni Handeni ambayo haina maji? Kabuku; Kwamsisi; Kwedikwazu; Handeni mjini kote huko nimejionea sasa ni wapi kwenye tatizo ili tufikishe salamu; pamoja na kwamba Handeni kuna hali ukavu bado serikali ya chama makini imeweka kipau mbele kuhahakisha wanapatiwa huduma ya maji; endelea kuramba kinyesi! sisi tunasukuma gurudumu la maendeleo!
 
Wewe unaropoka nyuma ya keyboard ukiwa unatoka kubeba box. Hayo maeneo yote unayoyasema kwao maji ni anasa kama jinsi ilivyokuwa kuwa anasa kupata huduma ya umeme. Akili yako ikite kuona mataabiko wanayoyapata watanzania wenzako japo unaandika na kufikiri kwa sembe.
 
Hakuna la zaidi ktk bandiko lako, limejaa malalamiko tu.

Kulalamika ndio style ya sasa. Maulamaa wanalalamika, Taasisi na jumuia zetu zinatoa malalamiko, Mwenyekiti wa Chama Cha siasa kinachotetea Maslahi yetu analalamika, 'ndugu zetu katika imani' wa Zanzibar wanalalamika, 'Wenzetu' wa hapa JF kutwa kucha ni post za malalamiko, Unashangaa malalamiko ya Mohamedi Mtoi? mbona hukushangazwa na malalamiko kwenye hekaya za Mohamed Said?

cc masopakyindi
 
Last edited by a moderator:
Hata mahakamani aliangukia pua , nimegundua kwamba ni rahisi sana kuwa kiongozi wa ccm kuliko hata kuendesha baiskeli shinyanga !

dah! umenifurahisha sana! shinyanga ndo kukoje?
 
Kuhamia CCM ni sawa na kuhamia motoni ukiwa najaribu kuweka joto la kikaango, poleni wachumia tumbo, hata kama nyumba itachomwa hatuhami, huyu kamanda ni kama ndala.
 
ccm watakuja na propaganda kibao lakini mwisho wa siku watabakia kuwa historia Tz hii
 
ni vizuri majibu yametolewa kwani waswahili wanasema uongo ukiachwa muda mrefu hugeuka kuwa ukweli!!!
 
Nimesoma malalamiko yako sijaona huo ukweli uliousema kwenye heading.

Unacholalamika sijui ni nini unataka watu wakusaidie nini.

Tutakuamini vipi kwani wewe ni msemaji wa watu wa Handeni.
mkuu kwani hiyo habari imetolewa na nani? Ninachojua mtoi kaiwakilisha tu!
 
Mjununi wewe mbona unataka kuwa muongo ni Handeni ambayo haina maji? Kabuku; Kwamsisi; Kwedikwazu; Handeni mjini kote huko nimejionea sasa ni wapi kwenye tatizo ili tufikishe salamu; pamoja na kwamba Handeni kuna hali ukavu bado serikali ya chama makini imeweka kipau mbele kuhahakisha wanapatiwa huduma ya maji; endelea kuramba kinyesi! sisi tunasukuma gurudumu la maendeleo!
kipa umbele miaka 50? Handeni haina maji, huku salma kikwete akila bata huko marekani kwa kupitia mgongo wa kikwete, shame on ccm, shame on you!
 
user-online.png
genekai

Yesterday 15:34
#13 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 9th February 2010
Location : Loitering!
Posts : 8,209
Rep Power : 2239
Likes Received1387
Likes Given1698

[h=2]
icon1.png
re: Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA[/h]
CCM wamezoea siasa nyepesi na za kijinga so kila wakija na mikakati ya kitoto tunagundua wala hawatupi shida!

Sijui una maana gani. Lakini ni vema uache jazba kwenye masuala kama haya. Utapata pressure bure.​
 
Kwa great thinker tulielewa sio rahisi watu wenye akili timamu wanaoishi katika mateso kwa miaka 52 kurudi katika chama cha mafisadi,wezi na wauza sembe.gari moja vx wanayotumia lingetosha kuwachimbia visima vitano.
 
Nimesoma malalamiko yako sijaona huo ukweli uliousema kwenye heading.

Unacholalamika sijui ni nini unataka watu wakusaidie nini.

Tutakuamini vipi kwani wewe ni msemaji wa watu wa Handeni.
Ritz Nasikia unahusika kusafirisha poda......ndugu mwisho unakaribia unatetea chama ili wakulinde
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom