mapishimigu
Member
- Jul 29, 2013
- 13
- 1
mwenyewe nilijua jamaa wamepika story! magamba wanakazi kweli kweli
Chadema ni chama cha watu flani wenye flani na marengo flani. Ni chama hatari kwa mustakabali wa nchi yangu ya Tanzania.
Mfa maji ahachi kutapatapa, kama zilikuwa za uongo ungewaacha wajindanganye wenyewe? Kulikuwa hamna haja ya kutapatapa huku jf
Tanga hakuna Chadema.
Ama kweli CCM wanapenda kujifariji. Kwa nini wawe kama mbuni ambaye hujificha kwa kuficha kichwa kwenye mchanga huku mwili wote ukiwa nje lakini akawa anaona faraja kuwa nimejificha kumbe inamlaisishia kazi mwindaji.
Tanga hakuna Chadema.
Nimesoma malalamiko yako sijaona huo ukweli uliousema kwenye heading.
Unacholalamika sijui ni nini unataka watu wakusaidie nini.
Tutakuamini vipi kwani wewe ni msemaji wa watu wa Handeni.
Huku Tanga chadema ni kama ukoma unavyoogopwa.
Chadema ni chama cha watu flani wenye nia flani na malengo flani. Ni chama hatari kwa mustakabali wa nchi yangu ya Tanzania.
Hakuna la zaidi ktk bandiko lako, limejaa malalamiko tu.
Hakuna la zaidi ktk bandiko lako, limejaa malalamiko tu.
Juliana Shonza aliishobokea kweli ile thread ya uwongo ambayo ilikuwa na mambo ya kupikwa, mpka akajidai eti yeye alichomoka CHADEMA WAKATI ukweli alifukuzwaaa.
Nimesoma malalamiko yako sijaona huo ukweli uliousema kwenye heading.
Unacholalamika sijui ni nini unataka watu wakusaidie nini.
Tutakuamini vipi kwani wewe ni msemaji wa watu wa Handeni.
Sembe zinakuchanganya sana kijana wa mshua. Huko kaskazn na huko Zanzbar CCM haipo? Eti watu wenye mawazo ya hivi ndo CCM inategemea,CCM hatari sana kwa taifa letu siku zijazo
Kama neno rahisi tu "malengo" umeandika marengo , uwezo wa kufikiri si ndo uko ICU kabisa!?
Namfahamu vizuri sana Bulembo , uwezo wake ni mdogo mno, hawezi kufunga ofisi ya mtu yeyote .