Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
- Thread starter
- #61
Mimi binafsi kama mwanaCCM simkubali kabisa huyo mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM, Abdallah Bulembo na pia yule 'kuwadi..' wake Le Mutuz(Willium Malecella).
Hao jamaa ni waongo na wazushi sana.
Mkutano wao wa hadhara hauzidi watu Mia mbili halafu hapo hapo wanadai kuna wanaCHADEMA zaidi ya mia tatu wamerudisha kadi na kuhamia CCM!!!
Swali la msingi sana! Kama mkutano wao haukizidi watu 200 hao 300 waliorudisha kadi ni kina nani?! Kimahesabu ni kwamba hata na wao wenyewe wamerudisha kadi pamoja na miti na magari yaliyohudhuria mkutano huo.
Hahahahaha hakika hizi ni akili za samaki kama alivyojisemea Karume alivyo kuwa anawaambia wajumbe wa kamati kuu ya ccm pale dodoma "mbona mna akili za samaki nyie"