Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA

Ukweli wa Handeni kuhusu wanachama waliokihama CHADEMA

Mbinu zenu za kudanganya ni outdated,CHADEMA INASONGA MBELE,KAZI MNAYO NA BADO.
 
Kulalamika ndio style ya sasa. Maulamaa wanalalamika, Taasisi na jumuia zetu zinatoa malalamiko, Mwenyekiti wa Chama Cha siasa kinachotetea Maslahi yetu analalamika, 'ndugu zetu katika imani' wa Zanzibar wanalalamika, 'Wenzetu' wa hapa JF kutwa kucha ni post za malalamiko, Unashangaa malalamiko ya Mohamedi Mtoi? mbona hukushangazwa na malalamiko kwenye hekaya za Mohamed Said?

cc masopakyindi
Mkuu Mzito Kabwela mimi si wa malalamiko, ni mshabuliaji wa buku saba, lefti wingi!!!
 
Last edited by a moderator:
Ccm kwa kushindwa kwao na kutapatapa sasa wamegeukia uongo. baada ya mbinu zilizotangulia kushindwa.
 
shika adabu CCM kimekuwa chama makini na sikivu kabla hujazaliwa!

Yeah, yawezekana.
Nimesoma vitabu vya Historia vinaonesha CCM ya Julius Nyerere ilikuwa makini na sikivu, ila upo sahaihi kabla sijazaliwa ilikuwa makini na sikivu lakini sasa hivi, wanauza sembe na meno ya tembo.
 
Mkuu twende na mkakati wa Katibu Mkuu wa kufanya mambo kimya kimya sasa kwa sababu huo uongo hauna mashiko. Baada ya kuwajibu hivi tutekeleze maagizo ya chama ya kuwa na mashina imara. Nasisitiza uongo huu ni vizuri sana unapojibiwa kwa ukweli kama hivi.

its gud kuona hamasa km hiyo
 
Back
Top Bottom